cesilia
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,233
- 1,251
ntamuuliza una mpenzi na mnafanyaga kweli ?...pata picha angekuwa mdogo wako,ndio kakufuata dada kwa ushauri!
ntamuuliza una mpenzi na mnafanyaga kweli ?...pata picha angekuwa mdogo wako,ndio kakufuata dada kwa ushauri!
[emoji1] [emoji1] Huyo demu si umeiona avatar yake halafu anataka mweziwe achepuke mara kwa mara...aisee!, yani nikikusoma wewe, halafu nikimkumbuka yule aliyemwambia afanye mapenzi mara kwa mara!, mbingu na ardhi.
Kazi ipofanya mapenz mara kwa mara utapona
Si mpenzi as such kwakuwa kutakuwa na intimidation itakayozaa lust na wivu hivyo kuleta stress na kuongeza tatizoTafuta mpenzi uwe nae karibu
kama wewe sio mpole
basi una matatizo ya saikolojia
jifunze kusema na moyo wako
tambua nini kinakupa furaha...
jifunze kufurahi... jifunze kutabasamu hata kama una matatizo lakini bado una sababu billion za kufurahi....
pia jifunze kuachilia mambo,usijaze maudhi nafsini
pia bwaga moyo wako....
Anti-socialism,Jitahidi kujimix na watu kwny matukio mbalimbali mf church,birthdays,vikao mbalimbali, mikutano movies, lunches, dinners nk nk
Then I got it right ni kipindi kitapita ila kumbuka ndio unajishape hivyo hivyo kuwa makini na maamuzi yako mengi ya sasa hasa anza kujifunza kutopaniki au kuwa na majibu ya haraka
Kuna nyakati utajikuta unataka kulia au unakasirika tu bila sababu au unakata tamaa huku ukiwa na options nyingi sana na ndoto nyingi
Just come down everything will be alright
Una low self esteem,yaani unajishusha unakosa confidence!ila kikubwa cha kukushauri siku zote usifikirie watu wanakufikiriaje au wanakuonaje!sababu hujui ndani ya vichwa vyao wanawaza nn!au jaribu kutazama LOW OF ATTRACTION itakufundisha mengu
Aisee huu ushauri kama unanihusu hivi maana hizo dalili ninazoThen I got it right ni kipindi kitapita ila kumbuka ndio unajishape hivyo hivyo kuwa makini na maamuzi yako mengi ya sasa hasa anza kujifunza kutopaniki au kuwa na majibu ya haraka
Kuna nyakati utajikuta unataka kulia au unakasirika tu bila sababu au unakata tamaa huku ukiwa na options nyingi sana na ndoto nyingi
Just come down everything will be alright
Ni wa kubomoaHuu nao ni ushauri wa kujenga?
Duuh ama kweli dunia ni sawa na kichaka,maana hatuwezi kujua labda kweli anajichua,lakini sio vibaya pia.Acha masturbation.
Short na clear........
We hujui kuwa kunaniliu kunaondoa stress? sasa wewe unafikiri ni uongo?,maana lile tendo husafisha nafsi na kujenga kujiamini au vipi?...pata picha angekuwa mdogo wako,ndio kakufuata dada kwa ushauri!
Kwanza nakuomba futa neno kujidharau kwenye akili yako wewe ni wa kipekee mno wewe ni maalum (unique & special)imagine ni mamilioni mangapi ya vijana kama wewe wanatamani wawe kama wewe una bundle una simu hapo ulipo umeoga umevaa nguo nzuri (si lazima ziwe za gharama)una huu muda mzuri tunabadilishana mawazo kama hivi...USIJIDHARAUBrother mshana umeongea na nafsi yangu kabisa mm nko hvyo kabisa ni mtu wa mambo mengi kukata tamaa kujidharau kujishusha na pia nakuwa ni mtu niseye na furaha muda mwingi
bwaga moyo kijanaNikweli mm sio mpole kiivyo na nimuongeaji sana ila kwa watu wachache niliwazoea