Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
- Thread starter
- #81
Sipendi michezojihusishe kwenye michezo mara kwa mara
Sipendi michezojihusishe kwenye michezo mara kwa mara
Hata chuo sikufika nashangaa unanipa cheo kisicho changu na nimeajiri wasomi kama wewe!chuo umefukuzwa kilaza umeitwa unadhani mimi nitakusaidia nini pole
uwakika wa kula tu huna unaniletea hasira mie kwendraaaaaaaaaa
tafuta rafiki wa karibu au nenda kwa wanasaikolojia au ingia mtandaoni utapata mawaidha juu ya hilo mkuu[/QUOTE
Rafiki ninaye sema ubaya ni kwamba Kuna vitu uwa nahitaji anifanyie sema yeye afanyi hivyo na Nina amua niwe mimi kama mimi
Mkuu gonga papuchi kila cku utachangamka then PGA redbull
Duuh bac mtafuta psychologist anaweza kukusaidia tatizo lakoSipendi michezo
wewe ni anti social.
vipi lakin usha enda advance?
Hili tatizo sio kubwa,ingawa kama mtu umekaa katika hali hii basi unadhani ni kubwa.
Pia kuna majibu hapo awali yanayozungumzia psychological disorder lakini niwaambie tu mpka mtu uwe a psychic problems siyo rahisi kihivyo labda kama umepitia tabu na matatizo mengi sana.
Naturally kuna vitu kama "midlife crisis, lost of identity, autism etc" ambavyo watu wengi wanakumbana navyo na kila siku tunapitia.
Unaweza kupata msaada kutoka kwa psychiatrist au wataalamu wa masuala ya akili na tabia.
Pia kabla ya yote fahamu kwa kiasi flan elimu ya akili mpaka sasa imejikita sana kwenye "negative side"- causes of mental and behavior illness lakini "positive side"- overcoming mental and behavior illness bado ni changa sana.
Ushauri wa kwanza jaribu kusoma vitabu especially hiki "how to stop worrying and start living" ameandika Dale Carnegie pia tafuta google "recommended self improving books"
Kama uko more curious kujua chanzo cha hali uliyopo basi unaweza anza kusoma psychology books kuelewa kwa mapana zaidi
Pole,sana mkuu.Nami nmejifunza hapa, yaani kuna siku nmetoka safari zangu nmefika home nje kuna watu nmewapita bila salamu nkaingia ndani, ile nafunga mlango mmoja akanisalimia mzima wewe nilijibu lakin niliona aibu hatari. Inatokea sijisikii
kusalimiana na watu na siko huru kabisa mbele za watu
Wakuu habari zenu,
Nimekuwa na tatizo moja la kutokuwa mchangamfu mbele ya marafiki zangu pindi ninapisalimiana nao pia mimi ni mtu nisiyejali kwa vitu vingi sana mara nyingi uchukulia kawaida tu na sio mpenzi wa kuwasiliana na watu kwenye social media msaada kwa hilo wakuu ni tatizo gani hili.
Hivi kumbe ni hatua za makuzi, nlikuaga sijui, enzi hizo namie nlikua hivo siongei na watu siwasalimii hata wakinisalimia sometimes sijibu, afu nikiwa mwenyewe nawaza kwanini ipo hivo ila siku hizi sipo hivo tena,Una umri gani? Kama ni below 25 hizo ni hatua za makuzi zilizochelewa kidogo...fuata moyo wako utakacho usilazimishe usichokiweza utaishi kwa maumivu
Kama huna social activities jichunguze ni kitu gani kinakupa furaha kisha kifuate hicho lakini angalia kisiwe na makwazo kwa wengine
Furaha yako no muhimu kuliko chochote kile kwakuwa furaha huleta matumaini furaha ni afya ya akili na mafanikio
[emoji17][emoji17]fanya mapenz mara kwa mara utapona
Hahaha