Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Aisee yaan nimejikuta tu nafurahi, yaani ningepata mume kama wewe cpati picha ningekuwa na furaha kiasi gani
Nampongeza mkeo kwa bahati aliyoipata!
Nashukuru mkuu. Na mimi pia nina bahati kumpata huyu mwanamke.
 
Zawadi yoyote utakayompatia kutokana na uwezo wako pia vitu anavyopendelea mamsap, usisite kumwambia jinsi unavyompenda na ulivyo na furaha nae mpaka hapo mlipofikia na Mungu awaongoze na kuwasaidia mzeeke wote kwa upendo huo. Na baada ya hapo umalizie na 'dessert' iliyoenda shule. Hongereni mno.
 
Mpe kitu kitakachodumu mda mrefu kimpe kumbukumbu
nenda nae kwa sonara..tafuta cha uwezo wako hapo
hatasahau milele
 
nakutakia kira la heri, katika kutafta zawdi, usisau kumkuna vizuri baada ya kununua zawadi, mkifika kitandani pia zawadi ya kumkunja inahusika sana, mkunje mpaka akwambie miguu inamuuma au kiuno kinamuuma, mkunje mpaka akuite baba majina ya watoto wako wawili, apo zawadi, itakuwa imenoga, maana huspo fanya hivyo, hatari yaja.kifo cha mende kiusike baada ya zawadi.
kumbe
 
Hahaaa...kuna siku atakuja tena kuomba ushauri wa zawadi gani amnunulie mtoto wake maana amekuwa wa kwanza.....Huwa najiuliza kila siku ikiwa mambo ya kawaida sana kama haya (yaani ukae na mkeo 2-3 yrs usijue kitu anachokipenda??) mtu anakilimbilia JF watawezaje ku manage issues kubwa kubwa za kifamilia? Kila kitu kidogo break ya kwanza JF ina maana uwezo wa akili zetu umeshuka sanaa??
1463309875629.jpg
 
Get her out on a romantic couples dinner....southern sun, kempinski et al.

Ukiwa huko utamtolea a very fine gold chain wit her name initial on it ukiwa kwenye kile ki pouch chake well decorated as a gift.

Then mwambie (utareplace nancy wit ur wife's name)

" Nancy sweet love u have been a blessing nd have brought much joy nd sunshine in my life. Our kids and Me have been soo fortunate to have u as part of our family. Accept this little gift as sign of my sincere/genuine appreciation to u, I love and adore u much my Queen "

Then utamvalisha na kumkiss. Thats it Lol...asipotoa chozi mi najitoa JF.

I wish [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Aisee yaan nimejikuta tu nafurahi, yaani ningepata mume kama wewe cpati picha ningekuwa na furaha kiasi gani
Nampongeza mkeo kwa bahati aliyoipata!

Usihofu mkuu na wewe utapata endapo tu unafahamu wapi gesi, dhahabu na almasi zinapatikana na mchakato wa kuvipata
 
Hajawahi kuchepuka?!huwajui vzuri wanawake endelea hivyo hivyo mkuu
 
Jidanganye tu.. hata Yesu alimpenda Yuda lakini still alimsaliti... ila uzuri unaishi kwa imani.
Ukiona mpaka kaamua kulileta hapa ujue wameishi takribani miaka mingi na hajawai kuliona kosa la kuumiza,ukiwa unapenda sana kurejea ya nyuma kwakweli utakua hufanyi maamuzi yoyote magumu katika maisha yako,hongera yake kwa kupata mke mwema maana wanawake wa miaka hii wengi tunawajua walivyo hata kama umtoe Chato leo hii atakuaribikia tu.
 
Sijui kwa nini baadhi ya wachangiaji hawaamini nikisema 'hajawahi kuchepuka'. Mkuu nasema kweli, kweli tupu. sina haja ya kudanganya.
Endelea kuamini unachokijua mkuu....maisha ya siku hizi yqmejaa drama ndio maana watu wanashindwa kuaminiana
 
Hizo makitu haziaminikagi.ila ww mwamini hakuna ubaya wwt
 
Kua muaminifu kama yy alivyo kwako,mpende ili ajisikie fahari kua Na mume km ww.
 
Back
Top Bottom