IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,850
Muda wote huo mmekuwa kwenye mahusiano/ndoa ila hujui zawadi ya kumpa mkeo? Unafeli sana, Chief.
Hahaaa...kuna siku atakuja tena kuomba ushauri wa zawadi gani amnunulie mtoto wake maana amekuwa wa kwanza.....Huwa najiuliza kila siku ikiwa mambo ya kawaida sana kama haya (yaani ukae na mkeo 2-3 yrs usijue kitu anachokipenda??) mtu anakilimbilia JF watawezaje ku manage issues kubwa kubwa za kifamilia? Kila kitu kidogo break ya kwanza JF ina maana uwezo wa akili zetu umeshuka sanaa??