Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Kumbe hatuelewani hapa. Mie sijamshauri mtu kunyonya na wala sijasema nafanya hivyo au la. Hizo ni siri za ndani za watu.

Mimi nilikuwa najadili hoja hiyo ktk mtazamo chanya. Kama kuna anayenyonya sawa tu, ni maamuzi yake. Kama kuna wasionyonya, sawa tu ni maamuzi yao.

Pia hapa tunaongelea mwanamke anayejiheshimu, habari ya kinyume na maumbile... no no no.
Tunaelewana vizuri sana.

Mimi nilikuwa natolea mifano na kautani, wala sijakushutumu.

Mbona bado tuko njia moja hatujapishana
 
Tunaelewana vizuri sana.

Mimi nilikuwa natolea mifano na kautani, wala sijakushutumu.

Mbona bado tuko njia moja hatujapishana
Asante mzazi. Mifano na utani wakati wa majadiliano ni muhimu.
 
Asante mzazi. Mifano na utani wakati wa majadiliano ni muhimu.
Naam.

Ndio maisha yanaendelea, sio mambo ya kununa na kujifanya una usongo wa Maisha.

Maisha sio hivyo, Maisha unatakiwa uyafurahie, uwe nacho, usiwe nacho, kupata na kukosa ni majaliwa.

Kama ipo, ipo na kama hakuna, hakuna.

Hata ujifanye mtu wa mipango, bajeti, kama fungu la kukosa ni fungu la kukosa tu.

Maisha ni kujiachia, kikiwepo tumia na kula bata kwa kwenda mbele, ikiwa hakuna shukuru
 
Back
Top Bottom