Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
Mpe upendo wa dhat

Usichepuke....... Izo ndo zawad

My take :umejiridhsh kuw hachepuk mkuu?? Maana ucje ukagundua anachepuk afu ukapata presha gafla coz unamuamin sn inaonekana
 
Na mimi nakomaa hakuna kuchepuka wala nini. Mkuu ingekuwa kuna jedwali lenye vigezo/viashiria vya mwanamke kuchepuka halafu niambiwe niweke alama... Ungeshangaa, mtoto wa kike katulia balaa. Kwa mda huu wote nimeishi naye mpaka naandika hii sms nina uhakika mia kwa mia.
 
Kuishi kwa uaminifu katika ni wajibu Wa wanandoa wote. Motisha hapo ni upendo tu
 
hongera umemshukuru! ila daaah mkeo kabisa unatuuliza sisi zawado yakumpa wakati wewe ndo unamjua na anavyovipenda wavijua wewe. sijui ni wa mkoa gani huyu
 
Moro mji kasoro bahari. [emoji4] [emoji4]
 
halipo kwa sababu ujamfuma mkuu...ila litatumika hivi karibuni kwako ndio maana nimeliweka hapo
Sawa, sina uhakika wa 100% wa Wakati ujao. Ila mpaka waleo hilo neno 'kumfuma' halipo. Kwa kutazama uaminifu wake tangu nimuoe, napata ujasiri wa kumuita mke mwema.
 
Hongera mkuu kwa kuwa na mke mwaminifu na mwenye kukupa ridhiko la moyo wako.

Sisi tuliooa majanga tunakuonea wivu, ila pia tunagundua kumbe mazuri yawezekana ndoani
 
Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
Mpe no yangu mkuu
 
Back
Top Bottom