Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Huu sasa ni ukorofi. mada za aina hii zinajadilika sehemu yoyote ile; iwe kijiweni, bar, hotelini, kwenye basi. Hata JF pia. Siku nyingine kabla hujaanza kukandya, toa kwanza ushauri mzuri ili tujue uwezo wako wa kufikiri uko juu au chini kiasi gani.

Wewe ulishawahi kumnunulia mkeo/mumeo/mtoto zawadi? Je hujui ni zawadi gani aipendayo? Hapo ulipo hujui mkeo/mumeo anapendelea nini/hataki nini? Kwenye birthdays (hata kama siyo zote) hujawahi kumnunulia mwenzi wako zawadi/kumpeleka out for the occasion??
 
Get her out on a romantic couples dinner....southern sun, kempinski et al.

Ukiwa huko utamtolea a very fine gold chain wit her name initial on it ukiwa kwenye kile ki pouch chake well decorated as a gift.

Then mwambie (utareplace nancy wit ur wife's name)

" Nancy sweet love u have been a blessing nd have brought much joy nd sunshine in my life. Our kids and Me have been soo fortunate to have u as part of our family. Accept this little gift as sign of my sincere/genuine appreciation to u, I love and adore u much my Queen "

Then utamvalisha na kumkiss. Thats it Lol...asipotoa chozi mi najitoa JF.
 
Teh yani baada ya ile Dinner yako nilijiona bado mwanafunzi kabisa, so narudi tu class unipe mambo

Teh mvua lazima mbona

Haha...mvua ni ya muhimu zaidi hapo japo bado sijaona ushauri wako mfilipino kwa mtoa mada ampe zawadi gani mke?
 
Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
Mnunulie sukari mkuu. Sukari tu inatosha
 
Wewe ulishawahi kumnunulia mkeo/mumeo/mtoto zawadi? Je hujui ni zawadi gani aipendayo? Hapo ulipo hujui mkeo/mumeo anapendelea nini/hataki nini? Kwenye birthdays (hata kama siyo zote) hujawahi kumnunulia mwenzi wako zawadi/kumpeleka out for the occasion??
Nimewahi kumnunulia. Ila nilipanga hii iwe bab kubwa. Tarehe 26 mwezi huu tunakamilisha miaka 8 ya ndoa yetu. Cku hiyo nitamtoa out na nitamshukuru kwa niaba yangu na ya watoto wetu 2 kwa UPENDO & JITIHADA zake.
 
Get her out on a romantic couples dinner....southern sun, kempinski et al.

Ukiwa huko utamtolea a very fine gold chain wit her name initial on it ukiwa kwenye kile ki pouch chake well decorated as a gift. Then mwambie

" Nancy sweet love u have been a blessing nd have brought joy nd sunshine in my life. Accept this little gift as sign of my sincere appreciation to u, I love u soo much my baby mama "

Then utamvalisha na kumkiss. Thats it Lol...asipotoa chozi mi najitoa JF.
Haha...Mkuu upo vizuri ila kabla hujajitoa JF
naomba uwape na dressing code ya kuvaa siku hiyo...

Muda wa kwenda eneo la tukio,
aina ya parfume kwa siku hiyo na
aina za vinywaji.
 
Pamoja na kuendelea kumheshimu na kumpenda, mtafutie mkufu simple wa dhahabu kama appreciation yako kwake.
 
Get her out on a romantic couples dinner....southern sun, kempinski et al.

Ukiwa huko utamtolea a very fine gold chain wit her name initial on it ukiwa kwenye kile ki pouch chake well decorated as a gift.

Then mwambie (utareplace nancy wit ur wife's name)

" Nancy sweet love u have been a blessing nd have brought much joy nd sunshine in my life. Our kids and Me have been soo fortunate to have u as part of our family. Accept this little gift as sign of my sincere/genuine appreciation to u, I love and adore u much my Queen "

Then utamvalisha na kumkiss. Thats it Lol...asipotoa chozi mi najitoa JF.
Hiyo kempiski et all si ipo dar? sisi hatuisho dar; Ila ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili.
 
Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
Ila kumbuka mapenzi hayana kiapo mkuu
 
chifu77 Hongerea sana..
Na kupongeza kuwa umepata zawadi kutoka kwa Muumba na una bahati nzuri ktk maisha!!
Zawadi nzuri na ya siku zote ni CASH money !! (au gawa 50/50)
 
Back
Top Bottom