Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ndugu kwanza hongera sana kwa kumpenda mkeo na kutambua thamani yake ..pia unaweza kumtoa out walau siku mbili tu akalale hoteli nzuri za hapa mjini nadhdani utamudu gharama


Jambo la pili mshukuru sana mkeo kwa kuwa msiri kiasi hicho nadhani mkeo anafaa sana kuwa mtu wa usalama
 
Chifu
Zawadi kubwa sana kwake ya kwanza ni uaminifu kwake kama yeye alivyofanya. Pia tafuta kitu kama vile pete, mkufu mzuri wa thamani kama kumbukumbu ya appriciation kwake.
Huo ni ushauri mkuu.
Nashukuru mkuu. Pete na mkufu nitazimudu.
 
. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2.
Mpaka hapa nimejifunza kuwa mkeo ni mama wa nyumbani. Ningekuwa mimi ningemfungulia kamradi akasimamie kimuingizie kipato na kipato hicho kiwe ndo Zawadi kwake. Mfano,kwa Kuwa kipato chako sio kikubwa cha kumudu kumnunulia gari, basi mnunulie bodaboda mbili, tafuta operator waaminifu uingie nao mkataba. Every week wakuletee wife kiasi flani cha pesa, maybe after 2 years bodaboda inakuwa Mali ya operator. Ukisimamia vizuri zitazaa sana na hicho kipato ni cha wife kama Zawadi kwake. Inakuwa Zawadi endelevu.
 
nakutakia kira la heri, katika kutafta zawdi, usisau kumkuna vizuri baada ya kununua zawadi, mkifika kitandani pia zawadi ya kumkunja inahusika sana, mkunje mpaka akwambie miguu inamuuma au kiuno kinamuuma, mkunje mpaka akuite baba majina ya watoto wako wawili, apo zawadi, itakuwa imenoga, maana huspo fanya hivyo, hatari yaja.kifo cha mende kiusike baada ya zawadi.
 
Mkuu, kwa upendo anaonipa huwa nataka nimfanyie ki2 kikubwa ila kipato ndo tatizo nimeishia kumnunulia simu na nguo za kawaida na mwakajana nilimtoa out mara moja.

Fanya kilicho ndani ya uwezo wako, kama kweli yupo kama ulivyomuelezea, ata-appreciate tu. Material things sio kila kitu, ndio maana yeye hajakupa kitu ila umesuuzika.
 
Mkeo atakuwa JASUSI. Sheria kuu ya kucheat ni moja tu ambayo ni HAKIKISHA MWENZA WAKO HAKUKAMATI WALA HANA CLUE KWAMBA UNACHEAT, hapo naona mkeo kafanikiwa.

Zawadi ya kumpa muonyeshe upendo na fanyia kazi mawazo mazuri anayokupa, mwanamke huwa anafurahi sana anapotoa wazo zuri kwa mme wake alafu lile wazo lokafanyiwa kazi na kuchanua.
 
Wanawake ni zaidi ya ujuavyo kiukweli ni wanawake wachache sana ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 10 hawachepuka hata mara moja sidhhani
 
Back
Top Bottom