Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Hiyo kempiski et all si ipo dar? sisi hatuisho dar; Ila ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili.
Kempinski, southern sun, double tree na nyingi kali ziko dar ndio..pande za masaki huko ndio kabisaa kuna viwanja vingi vikali....

Well all in all kama uko nnje ya dar si tatzo well tafuta tu sehem nyingine tulivu yenye mandhari mazuri, mpate dinner and do as i told u. Tha Gold chain ni utundu wako sasa waweza weka initial ya jina lake kwa kuiremba or anything nd make sure its a suprise.

On my side sioni zawadi nyingine itakayoweka alama moyoni mwake kama hyo. Ni kama pete mnavyovalishana siku ya ndoa.
..hyo chain itajenga feeling katika nature hyo pia. Ni kama zawadi yako kwake ya kudumisha amani na upendo katika nyumba yenu.

Ukipata na mtumishi aliyestaarabika akaifanyia sala itapendeza zaidi.
 
Ni kweli mkuu ila mimi namzawadia kwa sbb ya upendo wake wa kweli na wa dhati kwa miaka hii 8, tangu nimemuoa. Sio kwa miaka ijayo.
Mnunulie mkufu wa dhahabu..ni mapambo na wakati huohuo ni kama hazina
 
Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?

KWANZA WEKA PICHA NA NAMBA YAKE YA SIMU HAPA MKUU.
 
Haha...Mkuu upo vizuri ila kabla hujajitoa JF
naomba uwape na dressing code ya kuvaa siku hiyo...

Muda wa kwenda eneo la tukio,
aina ya parfume kwa siku hiyo na
aina za vinywaji.
Duuh sasa hapo kuhusu vinywaji kila mmoja ana interests zake. Ki ufupi wavae that fine casual outfit kama jamaa atapiga suit asivae tie..kuna suit za mitoko sio mpaka i match na suruali....apige mixer flan hivi classic.

Chini leather shoes, saa kama ya laki 4 hivi mkononi lol na wife avae anything classic, nguo inayo mfit sio yale manguo ya kushonesha (i hate that in a woman, sio zote though) achague colours, beads or any other jewlery itakayo match na mme wake.

Perfumes ziko nyingi sanaa....mi nafkiri 8 years together wanajuana tayari vitu gan wanapendelea vinavyo wavutia both. Lets leave it to them to decide nimetoa general guide ya outfits, location na nn hasa jamaa anapaswa kufanya. Wishing them happiness and success in their future endeavors.
 
Badilisha Mali zote ulizonazo ziwe kwa jina lake nadhani hiyo Zawadi angalau itamfaa
 
Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
Mwongeze mimba ingine


Kisha usinene hachepuki
don't trust a woman even if is your mama[emoji57] [emoji85] [emoji85]
 
Hongera, we ni mwanaume wa pekee kuweza kusimama na kumsifia mkeo. Zawadi kubwa kuliko zote ni UPENDO hizo nyingine ni mbwembwe tu, mpe mtaji wa kumwezesha kusimama yeye kama yeye, kuna leo na kesho ndugu.
 
Hongera, we ni mwanaume wa pekee kuweza kusimama na kumsifia mkeo. Zawadi kubwa kuliko zote ni UPENDO hizo nyingine ni mbwembwe tu, mpe mtaji wa kumwezesha kusimama yeye kama yeye, kuna leo na kesho ndugu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] tutalifanyia kazi haya mawazo ya kumfungila kabiashara.
 
Hongera sana kaka na Mungu aendelee kuwajalie upendo wa dhati na amani milele......
 
Get her out on a romantic couples dinner....southern sun, kempinski et al.

Ukiwa huko utamtolea a very fine gold chain wit her name initial on it ukiwa kwenye kile ki pouch chake well decorated as a gift.

Then mwambie (utareplace nancy wit ur wife's name)

" Nancy sweet love u have been a blessing nd have brought much joy nd sunshine in my life. Our kids and Me have been soo fortunate to have u as part of our family. Accept this little gift as sign of my sincere/genuine appreciation to u, I love and adore u much my Queen "

Then utamvalisha na kumkiss. Thats it Lol...asipotoa chozi mi najitoa JF.
Nakubaliana nawe nilikuwa na wazo la mkufu naona itamfurahisha na nikumbukumbu nzuri
 
Hongera kwa kuliona hilo mchukue mkeo nenda nae sehemu tulia nae mwambie jinsi hiyo.
Mpe ukweli mwambie jinsi unavyoendelea kumpenda. Atakuelewa na upendo utaongezeka.
 
Mkuu, huu ni mwaka wa 8. Nimemchunguza sana sana sana, mpaka moyo wangu umetulia tuli. Hakuna hata dalili ya usaliti. Mpaka leo hii usaliti hua nasikiaga tu redioni, kwa majirani na magazetini.
Mkuu kuna mtu ameishi m wenza wake zaidi ya miaka 13 amekuja kujua jamaa ni jasusi baada ya kuugua na kufa ..
so hongera kwa hilo mkuu
 
Back
Top Bottom