Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

mbona zawadi zipo nyingi tu as long as huyo unaemtunuku hana makuu, yoyote ile inaweza kuwa mkufu wa shingoni, pete ya kidoleni, hereni au saa ya mkononi just to mention but a few, lakini nachokijua mimi zawadi yoyote ile ukimpa yule akupendae toka moyoni ataipenda na atafarijika sana.
 
Unafanya kazi gani
Dereva wa NGO, pia mwaka jana tuliweza nunua Yebo 1 inatuingizia pesa kidogo. Mipango ye2 ikienda vzr mwaka huu mwezi wa 11 tumepanga tukope pesa Tuongezee kidogo tuliyoitunza ili tununue bajaji.
 
inaonekana hujawajua vizuri hawa viumbe,waulize wenzio
Huwa napiga stori na marafiki na majirani. Kweli kuna matatizo makubwa sana mpaka naogopa ndo maana mimi nimejiona nina bahati kubwa kuangukia katika Mikono salama.
 
Mfanyie jambo ambalo hujawahi kumfanyia, itakuwa zawadi kubwa sana.

Hebu mnyonye uke wake
 
Huwa napiga stori na marafiki na majirani. Kweli kuna matatizo makubwa sana mpaka naogopa ndo maana mimi nimejiona nina bahati kubwa kuangukia katika Mikono salama.
Ila kuwa mwangalifu,usimwamini sana wala kumsifia waziwazi,hawakawii kubadilika.hata kama anafanya vizuri,jifanye kama huoni anayofanya na wala usimpe zawadi kwa kuwa amefanya vizuri,mzawadie kama mkeo.
 
Mfanyie jambo ambalo hujawahi kumfanyia, itakuwa zawadi kubwa sana.

Hebu mnyonye uke wake
Kunyonya uke ni kipengele mojawapo kati ya vipengele vingi kwny uwanja wa mahaba na ma romance. cha msingi ni ufundi wa kuvitumia.
 
Hongera sana mkuuuu,mnunulie pichu nzuri sana na pafym ya ukweli
Wanaume jifunzeni kitu hapa,mweeeeee mpende mkeo,mthamini,Maliji
Upendoo Wa maneno tuuu,mnunulie zawadi kuonyesha upendo wake kwako
 
Bora hata wewe una shukrani, na umeshare upande mzuri wa ndoa... Humu kila siku ni malalamiko tu.
Zawadi, mpende tu na ajue unapenda, kitu cha kumpa angalia na interest zake
HONGERA
Leo tumepumzika duuh, tumechoka.
 
Mkuu, kwa upendo anaonipa huwa nataka nimfanyie ki2 kikubwa ila kipato ndo tatizo nimeishia kumnunulia simu na nguo za kawaida na mwakajana nilimtoa out mara moja.
Sio mbaya hata hapo kama ndio uwezo wako umejitahidi, endelea kupambana mfanye afurahi zaidi wa ubavu wako
 
Ni wazo murua kbs ever said.
Mpaka hapa nimejifunza kuwa mkeo ni mama wa nyumbani. Ningekuwa mimi ningemfungulia kamradi akasimamie kimuingizie kipato na kipato hicho kiwe ndo Zawadi kwake. Mfano,kwa Kuwa kipato chako sio kikubwa cha kumudu kumnunulia gari, basi mnunulie bodaboda mbili, tafuta operator waaminifu uingie nao mkataba. Every week wakuletee wife kiasi flani cha pesa, maybe after 2 years bodaboda inakuwa Mali ya operator. Ukisimamia vizuri zitazaa sana na hicho kipato ni cha wife kama Zawadi kwake. Inakuwa Zawadi endelevu.
 
Mnunulie chupi ya gharama na muandalie gemu moja matata kidume usimamie shooo mpaka umukojoze mara mbili zawadi kubwa sana.
 
Kuna wanawake wamefundwa bana, hivi mkeo ana.mdogo wake vile!
Nipe direction nijaribu nyota yangu aisee.
Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
 
Hakuna zawadi zaidi ya upendo na uaminifu hiyo no zawadi tosha kama mkeo akijua wewe ni mwaminifu hiyo in zawadi tosha hiyo pesa nunua kitu ambacho hamna huko ndani mwenu mshirikishe aseme nini cha kununua
 
We
Wewe ulishawahi kumnunulia mkeo/mumeo/mtoto zawadi? Je hujui ni zawadi gani aipendayo? Hapo ulipo hujui mkeo/mumeo anapendelea nini/hataki nini? Kwenye birthdays (hata kama siyo zote) hujawahi kumnunulia mwenzi wako zawadi/kumpeleka out for the occasion??
We jamaa unapenda sifa, mambo ya ma occasiona sijui macocain peleka huko.
 
Mpende, mthamini, uwe muaminifu na kumjali. Mnunulie maua na chocolate na umwambie jinsi gani unamshukuru Mungu kwa kukupa mke mzuri in every sense kama yeye. Muahidi uaminifu na upendo wako siku zote za maisha yako. Huu ni ushauri toka kwa MWANAMKE
Sasa akimnunulia hayo maua je nyuki wakija mtamlaumu nani?
Si asavari amnunilie cherehani,
 
Back
Top Bottom