Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Mimi nilifanya utani.

Ila kwa upande wangu kusema ukweli sijawahi kunyonya uchi hata siku moja, na siwezi.

Kama wewe mwanamke utanikataa mimi kwa kutokukunyonya uchi wako, rukhsa nikatae.

Ila mimi hata siku moja sitoweza kunyonya uke.

Mbali ya kuwa sitothubutu kujaribu kunyonya uke, pia kuna vitu vingi huwa navifikiria, na huwa nawashangaa sana wale wenye tabia ya kunyonya uke, mtu anaenyonya uke basi nina uhakika hata mavi anaweza kula, wewe huoni pale jirani sana na sehemu ya haja kubwa, hapana, siwezi.

Nilishashawishiwa na walimbwende tukiwa faragha kunyonya uchi, wenyewe wanakuambia raha sana, wewe jaribu, hapana sikuthubutu na wala sifikirii.

Nakupeni hongera mnaonyonya uke
Ahaaa... ndo maana nimesema hiyo ni kipengele mojawapo kati ya vingi. Sio lazima unyonye uke na bado ukamfikisha, cha msingi maufundi yako tu.

Pia hapo hakuna mavi bana watu wanafanya usafi, husikii hata chembe ya harufu ndugu yangu.

Vilevile wataalamu wa afya ya mapenzi wanasema sehemu za uzazi zikifanyiwa usafi vyema ni salama sana kuliko hata vinywa kwa wanaokulana mate.
 
Nitakuambia mkuu. vick wako kakufanyia nini kinachostahili zawadi special
Vick wang ni super woman, kwanza anamlea vzur mwanetu pia amenishtukia mara nying kuusu michepuko lakin bado yupo nami." J ni Vick, Vick ni J mustarehe" kwakwel Vick wang anastahil zawad ya Ushindi
 
Vick wang ni super woman, kwanza anamlea vzur mwanetu pia amenishtukia mara nying kuusu michepuko lakin bado yupo nami." J ni Vick, Vick ni J mustarehe" kwakwel Vick wang anastahil zawad ya Ushindi
Zawadi zipo kwa ajili ya wa2 wa aina hiyo. Mola amjalie afya njema na furaha tele.
 
Hongera kwa kutambua uzuri wa mke wako na kushukuru. Miwanaume wa kiafrika kushukuru mke wake ni bora atoe sifa zote kwa mchepuko
Mnunulie perfume kama una uwezo huo na kama anapenda
 
Hongera kwa kutambua uzuri wa mke wako na kushukuru. Miwanaume wa kiafrika kushukuru mke wake ni bora atoe sifa zote kwa mchepuko
Mnunulie perfume kama una uwezo huo na kama anapenda
Umenena vyema mkuu
 
Hongera sana fanya tafiti kuangalia kitu anacho kipenda sana ama fanya tafiti kuangalia jambo litakalo mfanya afurahi sana punde utakapo mpatia na zawadi nzuri ni ile akiwa nayo on hand imfanye akukumbuke mkuu, kwa mfano nyumba, gari au mfungulie mradi then umpatie atakupenda na atakukumbuka daima.......
 
Hawa wanaume wa jinsi hii wanapatikana wapi toba yarabi...😛😛😛
Wamo ndani ya jamii yetu mkuu. Wengine wanabadilika pole pole hadi kujiheshimu na kutambua wajibu wao.
 
Mkuu muandalie gate away moja tulivu ya weekend moja zanzibar

mkapumzike huku ukiwa unajishuhulisha na kazi zote mapumzikoni kama kumbeba kumpeleka kumuogesha nk

ila main theme ya kumpeleka sehemu tulivu ni kumpa nafasi apate a clear mind na wewe uweze jinsi ya kumuonesha na kumweleza jinsi gani unavyompenda na kumdhamini na kujitahid kadri ya uwezo wako kuwa mume bora..

Swala la magari wala usiogope mkuu..wanawake viumbe wa ajabu sana, wew unaweza kumuwazia anapata tabu kwenye public transport kumbe mwenzio ndo anapopata nafasi ya kutafakari juu ya upendo kwa watoto na matunzo ya familia vyema

NOTE : jitahid japo uanze kujichanga na kuisogeza priority ka gari ata kadogo kakumkimu
 
Mpende, Mthamini, Mjali na kuwa karibu na yeye muda wote mkuu, kitu ambacho ni Tangible kitaharibika tu ila hivi vitadumu milele.

Kila la kheri usisahau kuleta mrejesho wa Zawadi uliyompa
 
Zawadi kubwa kwa mwanamke kumpenda, kumjali kwa kila kitu na kumtimizia matakwa yake, BUT mind you usiusemee moyo.
Mungu azidi kubariki ndoa yao ila nikiri tu kuwa nilipomaliza tu kusoma uzi wake nikajikuta nakumbuka wimbo huo wa Jide
 
Ahaaa... ndo maana nimesema hiyo ni kipengele mojawapo kati ya vingi. Sio lazima unyonye uke na bado ukamfikisha, cha msingi maufundi yako tu.

Pia hapo hakuna mavi bana watu wanafanya usafi, husikii hata chembe ya harufu ndugu yangu.

Vilevile wataalamu wa afya ya mapenzi wanasema sehemu za uzazi zikifanyiwa usafi vyema ni salama sana kuliko hata vinywa kwa wanaokulana mate.
Wewe hufai, naanza kukuogopa.

Sikatai, usafi ni muhimu, na ukiwasikia watu wanaolalamika uke kunuka, basi hao huwa wanachukua wanawake wabovu, au wale vinuka mkojo. Wanaojua kusafisha huwezi kusikia ikinuka hata mwanamke awe Changudoa.

Nakubali unachosema usafi, nafahamu hilo, ila pamoja na yote ndugu yangu mimi siwezi na bado hujanishawishi, kwa kweli nikifikiria ile sehemu ya haja kubwa hata isafishwe vipi, hapana.

Kuna wale wengine wanaonyonya hadi tupu za nyuma za wanawake, nawasifu sana, wenyewe wakikuhadithia, mimi huwa nabaki hoi na mwili huwa unanisisimuka.

Sikudanganyi nimefanya utundu wote kwa walimbwende, ila sijawahi kunyonya tupu ya Mwanamke na wala kumuingilia Mwanamke kinyume na maumbile, hata nisikie huyo Mwanamke anatoa ndogo na mimi nikimpitia sithubutu kuomba ndogo, na hata anishawishi nimle ndogo, hapana sikuwahi kuthubutu na siwezi thubutu.

Kama mimi sitoonekana nafaa kwa kuwa sili ndogo na sinyonyi uke, niko tayari na nionekane sifai, ila siwezi kukiuka maadili tofauti na itikadi zangu
 
Kumbe hatuelewani hapa. Mie sijamshauri mtu kunyonya na wala sijasema nafanya hivyo au la. Hizo ni siri za ndani za watu.

Mimi nilikuwa najadili hoja hiyo ktk mtazamo chanya. Kama kuna anayenyonya sawa tu, ni maamuzi yake. Kama kuna wasionyonya, sawa tu ni maamuzi yao.

Pia hapa tunaongelea mwanamke anayejiheshimu, habari ya kinyume na maumbile... no no no.
 
Hakuna zawadi kubwa kwa mkeo zaidi ya HESHIMA , UPENDO NA ZIDISHA MAPENZI KWAKE TU... utabarikiwa daima milele
 
Back
Top Bottom