Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,751
Bora na ww umechangamkia fursaMnunulie perfume na pochi nzuriiiiii,kwa hiyo amount inatosha.....sasaa mkeo hana kaka,labda nae atakua faithful [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora na ww umechangamkia fursaMnunulie perfume na pochi nzuriiiiii,kwa hiyo amount inatosha.....sasaa mkeo hana kaka,labda nae atakua faithful [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeoa?Muda wote huo mmekuwa kwenye mahusiano/ndoa ila hujui zawadi ya kumpa mkeo? Unafeli sana, Chief.
Hakuna zawadi nzuri unayoweza kumpa kama kumkojoza. We endelea kumpa hiyo zawadi alafu kitu kingine utakachokimudu kitakachomfanya ajisikie kwenda na wakati, kama simu kali, au hata kumpeleka tour maeneo ambayo hajawahi fika kama mbuga za wanyama au hapo Zbar itafaa pia... Hongera kwa kupata mke mwema...Heshima kwenu wanajamvi. Mimi nimeoa na tumejaliwa kupata watoto 2. Mke wangu nimwaminifu, sijawahi kuona dalili zozote za kunisaliti; kwa kifupi hajawahi kuchepuka. Pia ana bidii sana katika kulea watoto wetu na ananitia moyo pale tunapopita ktk changamoto za kimapato au kijamii. huwa namshukuru kwa kuwa mke mwema na mama mzuri kwangu mimi na kwa watoto we2. TAKRIBAN mwezi sasa nafikiria nimpe zawadi gani? Ila bado sijapata jibu kwa sababu siwezi kumudu kitu kikubwa kama gari. NAOMBENI ushauri mwanamke wa aina hii anastahili zawadi gani?
Umeoa?
OkySijaoa.
Maneno mazuri anayapata sawia.Maneno mazuri tu kwa mke wako yanatosha kuwa wewe mwenyewe ni zawadi kwake kutoka kwa MUNGU, furaha yake ikazidi kuliko sasa.
Duuh... hayo makitu naonaga tu kwenye muvi.
Sawa mkuu. Password ya simu na benki anazijua. Pia simu zetu sio siri hata akitaka naweza kumuachia cku nzima. changamoto za simu tulishazimuka zamani. sometym huwa natumia simu yake kusoma email yangu na huwa sisai out, hivyo naye aziona hizo emails.mpe zawadi ya kujua pass word, nywila, neno la siri la akaunti yako ya benki, facebook, jamiiforums, simu yako ya mkononi, vilevile mruhusu muda wote achezee simu asome meseji na kupokea simu muda wote
Nafikiria kumnunulia hereni na mkufu. Ndo uwezo wangu huo mkuu. AsanteKuwa mwaminifu mpende mjali na zaidi kabisa simama naye wakati wa shida na raha kuwa upande wake. Hii ni zawadi kubwa sana.
Sijajua uwezo au zawadi yako ya dhamani gani. Mnunulie hereni na mkufu wa dhahabu.
Nashukuru mkuu... Kipato kikikaa sawa tu... nafanya kweliHongera walau tunapata watu wanaoona mema kwa wapenzi wao,endelea kumjali,Mwambie unampenda na unamthamini
Ishu ya gari sawa uwezo hauruhusu kwa sasa ila jiwekee lengo hata baada ya mwaka au miwili au mitatu Mungu akikujalia basi mtimizie mana ishu ya usafiri hasa mijini sio anasa tena haswa Ukiwa na watoto,ila usimwambie hadi utimize
Hahahaa kumkojoza noma, watakushtaki. Basi tutumie tafsida, kumkuna kisawasawa. [emoji4] [emoji4]Hakuna zawadi nzuri unayoweza kumpa kama kumkojoza. We endelea kumpa hiyo zawadi alafu kitu kingine utakachokimudu kitakachomfanya ajisikie kwenda na wakati, kama simu kali, au hata kumpeleka tour maeneo ambayo hajawahi fika kama mbuga za wanyama au hapo Zbar itafaa pia... Hongera kwa kupata mke mwema...
Namba hapana mkuu. Usije ukanipeperushia ndege wangu. Wivu ninao mkuu.Nipe namba yake nmuulize kitu gani angependa kupewa