Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Ushauri: Nimpe zawadi gani mke wangu?

Hongera sana mkuuuu,mnunulie pichu nzuri sana na pafym ya ukweli
Wanaume jifunzeni kitu hapa,mweeeeee mpende mkeo,mthamini,Maliji
Upendoo Wa maneno tuuu,mnunulie zawadi kuonyesha upendo wake kwako
Kweli mkuu wakati mwingine maneno yanatimia vzr ukiweka na vitendo. Mweeee
 
Mnunulie chupi ya gharama na muandalie gemu moja matata kidume usimamie shooo mpaka umukojoze mara mbili zawadi kubwa sana.
Naona kwenye avatar yako umeweka picha ya simba wakikojozana. hahaaa, poa umesomeka mkuu
 
Hakuna zawadi zaidi ya upendo na uaminifu hiyo no zawadi tosha kama mkeo akijua wewe ni mwaminifu hiyo in zawadi tosha hiyo pesa nunua kitu ambacho hamna huko ndani mwenu mshirikishe aseme nini cha kununua
Sawa kabisa mkuu. Anafahamu fika kwamba sitaki masihara. Uaminifu ni mia kwa mia.
 
Ok, tupe maelekezo vizuri mkuu. Hili neno wengi wanapenda kulitumia. Kumbe tunatumia isivyo sawa sawa.
Ya Rabb nijalie mawarda na mahaba kwa mke wangu. Ya Allah utakase moyo wangu dhidi ya machafu etc,Hapa tunastahili kuitikia Aamini,maana hii ni dua, tunamuomba Allah,na hakika ya Mola wetu mlezi ni mwenye kuitikia maombi yetu. Ukisema In Sha Allah unaondoa uwezo wa Allah wa kukutendea lile unaloliomba,mfano :Ya Rabb nijalie mke/me mwema....ukisema In Sha Allah....unamaanisha Mungu akipenda akujalie hilo unaloliomba....hapo tunafanya makosa makubwa, Lugha ya maombi ktk uislam ni direct. Neno In Sha Allah halitumiki ktk maombi linatumika ktk kutimiza jambo fulani ambalo kidhana lipo ndani a uwezo wako ila kiuhalisia huna uwezo nalo kutokana na vikwazo ambavyo vipo nje ya uwezo wetu isipokuwa kwa utashi wa alietuumba. Mfano ; Kesho nikijaliwa nitakulipa deni lako....In Sha Allah,Kimsingi hapa nadhihirisha uwezo wakukulipa kesho upo ila malipo yatafanyika nikijaliwa uzima,hapa kwa neno In Sha Allah ninaomba Idhin ya Muumba aniamshe salamma nipate kutimiza ahad husika
 
Asante sana mkuu. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kwetu Tanga unaweza mpeleka kwa SONARA ukamnunulia cheni au hereni ya dhahabu, ila kitu cha muhimu ni upendo tu kaka hakuna kingine.
 
Kwetu Tanga unaweza mpeleka kwa SONARA ukamnunulia cheni au hereni ya dhahabu, ila kitu cha muhimu ni upendo tu kaka hakuna kingine.
Sawa mgosi. Huko ndiko mapenzi yalikozaliwa. Point taken.
 
Kunyonya uke ni kipengele mojawapo kati ya vipengele vingi kwny uwanja wa mahaba na ma romance. cha msingi ni ufundi wa kuvitumia.
Mimi nilifanya utani.

Ila kwa upande wangu kusema ukweli sijawahi kunyonya uchi hata siku moja, na siwezi.

Kama wewe mwanamke utanikataa mimi kwa kutokukunyonya uchi wako, rukhsa nikatae.

Ila mimi hata siku moja sitoweza kunyonya uke.

Mbali ya kuwa sitothubutu kujaribu kunyonya uke, pia kuna vitu vingi huwa navifikiria, na huwa nawashangaa sana wale wenye tabia ya kunyonya uke, mtu anaenyonya uke basi nina uhakika hata mavi anaweza kula, wewe huoni pale jirani sana na sehemu ya haja kubwa, hapana, siwezi.

Nilishashawishiwa na walimbwende tukiwa faragha kunyonya uchi, wenyewe wanakuambia raha sana, wewe jaribu, hapana sikuthubutu na wala sifikirii.

Nakupeni hongera mnaonyonya uke
 
Back
Top Bottom