Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Cha kufanya ili usije jinyonga au kumeza dawa... Mkimbilie Muumba wako ndio mfariji wako...

Tafuta vitu vitakavyokufanya uwe busy kwa sasa ... Hata mazoezi fanya.

Usiharakishe kutafuta mpnz kwa sasa utajutia baadaye maamuzi yako.
 
Usihangaike naye endlea na mambo yako muhimu ya maendeleo.huyo si wako tena labda uamue kukubali kushare love openly
 
Kwani vigezo vyako vya mpenzi umtakaye uaminifu haikuwepo? Kama ndio basi huwezi kuendelea kumuita mpenzi maana atakuwa ameshapoteza sifa za kuwa mpenzi wako. Kama huna vigezo basi huna sababu ya kulalamika. Hayo ni mapenzi holela.
 
Tafuta sehemu iliyotulia nenda kaa pekee yako lia sana ukitoka hapo rudi jf utuambie ulikuwa unalilia nini cha kipuuzi hicho nadhani tutakushangaa sana mwanaume kulilia mapenzi ebo.
 
Mbona ni simple tu,
Piga chini tafuta nyama nyingine endelea kugegeda , acha kujitia mawazo kana kwamba huyo demu ameondoka na mashine yako..
 
Habari za usiku huu wakuu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo.Nilikua na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikua simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah!!Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida.

Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.

Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.
NAWASILISHA.
Mikunguru, mipanya buku, mi-mbwa koko, mi-vimburu huwa haifugiki. Amua upendavyo.
 
Badala ushukru umeshuhudia unajilaumu we jamaa wa ajabu sana! Songa mbele wewe acha uboya...
 
hoja nzuri, kwanz nikupongeze licha na kuwa na hali mbaya kama ulivosema lkn umeandk vyema,
sas tatz swala la mapnz huwa ctaki kushaur sana kwan moyo wa mtu ni kichaka.
lakin sas nasem Fanya ambacho moyo wako unataka.
 
Tuliza kwanza ball huyo demu jifanye kama hamna kitu chochote kilicho tokea mwite aje geto akija omba show ya kibabe akikubali tandika mzingo hadi atapike mwenyewe theni piga chini

N:B Don't try this at Home!
 
Back
Top Bottom