Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Achana nae bhana! Kishafulia huyo pengine angekuletea magonjwa ya ajabu utapata wa ukweli ! Mademu wengi,angalia maisha asijekuletea balaa kubwa zaidi,hana maana!
sawa mkuu
 
Unaonekana upo smart sana brother na busara pia hutaki kufanya maamuzi ya haraka unapoumia kwa kupokea ushauri sahihi kutoka kwa vijana wenzako.

Ujana ni maji ya moto, changamoto ni nyingi na haziepukiki. Kumbuka ukimaliza kukabiliana na kuishinda changamoto hii kuna nyingine na nyingine na nyingine zaidi ya hii utaendelea kuzipitia katika kipindi chote cha maisha yako (haziishi).

Wewe ni mtoto wa kiume tunatambua umeshapitia magumu zaidi ya hili la leo na yote hayo umeyashinda, Kwa hiyo na hili lisikuumize kichwa just relax ni km upepo tu utapita na utasahau.

Kuumia lazima kwa sababu umempenda ila sio lazima umuache, piga moyo konde usimuache ghafla ghafla utaumia zaidi ww endelea na mapenzi yako kama kawaida ili mradi ya kwako yanakuendea sawa.

Kama ulivyo usiumize moyo wako na wala usimfuatilie mienendo yake kwa sababu unajifahamu na unajitambua. Mambo ya usaliti hayaepukiki yapo tu kwetu sote wanaume na wanawake, hata kwenye ndoa pia yapo ila wavumilivu tu ndio wanaoendelea na ndoa zao
 
Sasa si ungeliamsha hapo hapo uwakate makofi wote wawili au jamaa mbavu"
 
Pole sana mkuu jaribu kutafuta ugoro kidogo ubwie hakika utamsahau
 
Mkuu achana na mademu wa karibu jau coz ukiachana nae ni heri na ni hatar ugomvi hutoisha hapo mtaan na zarau kibao atakuonesha kiufup jiandae na matusi yake huyo shem we2 mcharuko
Umeshatambua SEX ya mtoa mada?me nimemsoma sijajua kama ni ME au KE,rudia kusoma
 
Kwani demu alikuambia upo peke yako? Halafu umehusiana naye kwa miezi minne tu, unajuaje, pengine wewe ndo mwizi, hujafumwa bado ukimwibia huyo uliyemkuta. Pole, ndo ukubwa kijana, gangamala...
 
Nenda kamuombe msamaha kwa kumfumania, afu muendelee
 
Achana nae hana true love kwako,tulia tu usipanic utapata mwingine ataekufaa.
 
Back
Top Bottom