Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Take action...!!!!
While u ar waiting for the right one to come, play nd have a funny wth de wrong one, b careful wth whom u ar play'n wth. Ur wrong one may b ur right one al along ur life . The special one not 4 search bt just 4 preparation!!!!
Umemaliza pepa?
 
Siku hizi hainaga ushemeji, tafuta na wewe mnyonge wako
 
Habari za usiku huu wakuu,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikuwa simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah! Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida. Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi. Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.

NAWASILISHA.
Kwa ss ucmwache coz ukimwacha kipind hk coz ni ghafla utaumia mr mbili. Moja utaumia kwa kusalitiwa, pili utaumia kumpoteza yan kutokuwa nae tena. Fanya yafuatayo

1. Msaheme muendelee na uhusiano ila kinatharia cio kivitendo na punguza kuonana nae mr kwa mr

2. Akilini jenga kitu kuwa hauko nae, na anza maisha mapya yan maisha ya kutokuwa nae tena

3. Ukishakaa sawa kisaikolojia piga chini tena kwa ghafla na umshi2kize

4. Tena muache cku ya Jumapl ucku ili anavoamka Juma3 aanze sfr ya maumivu
 
Kama ni mtu mwingine amekuja kwako kukueeleza huo mkasa...ungemshahuri vipi???
Swali lako zuri sana,nakumbuka kuna mtaalamu mmoja wa Saikolojia aliniambia mtu akikuomba ushauri(na hasa ushauri kama huo),unapaswa kumuuliza kuwa ungekuwa wewe ungefanyaje!Faida ya kumuuliza swali hilo ni kwamba,unaweza ukampa ushauri kumbe ukamshauri vitu vikubwa(ukamu-overdose),sasa ukimsikiliza yeye kwanza unaweza ukajua uwezo wake wa kustahimili ushauri wako.
 
Habari za usiku huu wakuu,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikuwa simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah! Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida. Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi. Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.

NAWASILISHA.
Pole sna mkuu...fanya kama unampotezea km week kadhaa hv then sikilizia...hisia za mtu kupenda huwa zinaondoka zenyewe taratibu...mwsho wa siku mtu unamchukulia kawaida 2...
 
Tulia kwanza huyo achana nae.. Muombe mungu akupe chsguo zuri wala usikurupuke.
 
Hapo jitaidi kuwa unajichanganya na watu, means usikae pekeako. Pia kama ungekuwa mstalabu ungemuita ukamuliza kwanza kujua yule aliepigana nae busu ni nani ake sio unakulupuka kujiumiza bila sababu. Je, ungemkuta ana do? Si ndo ungejinyonga kabisa. Uliza kwanza ndo uchukue maamuzi.
 
Tulia kwa muda wa kutosha na usiliwaze hili na ujifanye kuwa huna mpenzi then muda utasema
 
Pole kaka angu jamani...i can feel your pain [emoji22], mtu aliyeumizwa tu ndio atakayeelewa uzi wa huyu jamaa...ila wale waumizaji watamshauri utumbo tu.
 
Very sorry for this brother but bare in mind if you surrender everything to a woman because of love it will end up hurting you very painfully.
 
First,Calm yourself down n Relax.
Ni wazi hapo ulikosea kwa kumuamini kwa haraka sana "Trust no body even yo self".

SOLUTION: Usifikiri ku-react kwa namna ambayo itamfanya a-feel proud kwa alichokifanya (act normal kabisa ikiwezekana salimiana nae vizuri kabisa na Mpe hongera kwa maamuzi aliyoyafanya) kwa Sababu Ana expect ww u-react kwa hasira/ujichukulie hatua mkononi dhidi yako/yake ama jamaa yake huyo/Umchunie au uoneshe kusononeshwa ama kuumizwa kwa kitendo alichokifanya. "Don't grant her wish,bro" you deserve someone better than her n even best,pull yo self up n build yo future.

Who made for you will come to you, Have yo dreams intact n fulfill them N u shall surely have yo dream wife as a bonus.
unamuongezea mwenzio matatizo na iko kiswanglish
 
Mtakufa kwa kuendekeza nyoyo zenu, acha akili ikuongoze...

Sasa mtu ushamfumania halaf umataka ushaur, ushaur wa nini, akulipe vyako alivyotumia au.. Kuwa mtu mzima, kuna vtu vya kusumbuana kuomba ushaur, halaf tena demu mwenyewe miez mi4 tu, angekuwa mke na mshaishi miaka kibao hapo sawa.. Huyo muuza k ndio akupe homa ya moyo, cm on man, wacha upambafuuuu
 
Acha kutetemeka mkuu....mbona kuna watoto wengi sio wasaliti na wanajua kupenda tu
 
First,Calm yourself down n Relax.
Ni wazi hapo ulikosea kwa kumuamini kwa haraka sana "Trust no body even yo self".

SOLUTION: Usifikiri ku-react kwa namna ambayo itamfanya a-feel proud kwa alichokifanya (act normal kabisa ikiwezekana salimiana nae vizuri kabisa na Mpe hongera kwa maamuzi aliyoyafanya) kwa Sababu Ana expect ww u-react kwa hasira/ujichukulie hatua mkononi dhidi yako/yake ama jamaa yake huyo/Umchunie au uoneshe kusononeshwa ama kuumizwa kwa kitendo alichokifanya. "Don't grant her wish,bro" you deserve someone better than her n even best,pull yo self up n build yo future.

Who made for you will come to you, Have yo dreams intact n fulfill them N u shall surely have yo dream wife as a bonus.
Ushauri mzuri sana! Haina haja ya kurusha ngumu wewe kaa kimya tuu kama hujui vile! Namba yake futa wala usimwambie chochote kausha Fanya mishe zako akikuuliza vp mwambie poa
 
yaani kukumbattiana tu unalia hivyo? come on, je ungepata wanagegedana/? labda ni ndugu yake walikua wanakumbatiana afu wakabusiana
Mbona unatetea upumbavu? Ndo wewe nn? Au ndo katabia kako? Umeguswa na ujumbe?
 
Back
Top Bottom