Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Habari za usiku huu wakuu,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikuwa simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah! Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida. Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi. Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.

NAWASILISHA.

Unahamaki nini ?
Achana nae
 
Pole sana...ila hapo nawe utakuwa umejifunza utamwaminije mwanamke kama mama yako mzazi(ye akikikwambia mimi ndio mama yako huwezi kupinga),najua muda si mrefu utakuwa chapa ilale ndo utapunguza hayo maumivu.
 
Duu mkuu umenikumbusha mbali sana niliopotemwa na mwanamke nielikuwa namuamini na kumpenda kwa moyo wangu wote.But namshukuru Mungu nimetulia.
 
Habari za usiku huu wakuu,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikuwa simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah! Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida. Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi. Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.

NAWASILISHA.
Amekusalitije sasa, mbona sioni usaliti wowote? Umemuoa?
 
Hujazaliwa nae mmekutana ukubwani ulivyo ambiwa kua uyaone sio magorofa ndio mambo hayo....
 
Kama ni mtu mwingine amekuja kwako kukueeleza huo mkasa...ungemshahuri vipi???
Unaboa kuquote wkt Ni wa Mwanzo..mwenye Uzi yupo hapahapa why unamquote..mnaofanya ivi mnaudhi...labda Uzi ukiwa mfupi.Badilikeni.
 
Habari za usiku huu wakuu,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikuwa simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah! Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida. Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi. Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.

NAWASILISHA.
Kama ni dem kakufanyia hivyo mbona ni jambo la kawaida tu? Ingekuwa ni mkeo je ungefanyaje?

Mshukuru Mungu amemuumbua mbele ya macho yako. Achana naye kwani wasichana wapo wengi sana.

Pia nakushauri tu uache uasherati...Mwombe Mungu akupe mkeo mmoja mwaminifu (ikiwa upo tayari kuoa na utulie).
 
Unaboa kuquote wkt Ni wa Mwanzo..mwenye Uzi yupo hapahapa why unamquote..mnaofanya ivi mnaudhi...labda Uzi ukiwa mfupi.Badilikeni.
UNYWAJI WA POMBE KUPITA KIASI NI HATARI KWA HESHIMA YAKO....SIKU NYINGINE USILOGIN UKIWA MLEVI, SAWASAWA!!!!!
 
Tafuta mwingine kwanza ndipo uachane nae. Ukimwacha saiv utaumia sana unavonekana
 
Jamani hili nalo linahitaji ELIMU BURE kuamua, Piga chini huyo sonhga mbele.......mwache aende
 
Athed Jnr pole sana huwezi kujua Mungu amekuepushia cha muhimu hapo achana naye pambana na maisha yako kwanza wanawake wapo wengine sana utampata ambaye mtapendana na kuwa pamoja kuumizwa kwenye mapenzi kupo sana hata mimi nimeshawahi kupitia huko maumivu nayajua ila jikazane mwombee sana Mungu wako.
 
Back
Top Bottom