Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Kwa hiyo phone book yako ina Jina moja tu, hadi utusumbue?
 
Habari za usiku huu wakuu,

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikuwa simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah! Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida. Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi. Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.

NAWASILISHA.
ILO NI PEPO UNALO! KAMA WEWE UNAUMIA KWA KUSALITIWA NA MPENZI WAKO AMBAYE MNAVUNJAGA AMRI YA 6 KILA SIKU! UNAFIKIRI MUNGU WAKO ALIYE KUUMBA KWA MFANO WAKE AKITEGEMEA UMUWAKILISHE VYEMA HAPA DUNIANI! WAKATI HUO WEWE UMEKATAA SHERIA YAKE! UNAFIKIRI YEYE ANAJISIKIAJE ANAPO KUONA WEWE UNAMSALITI?
 
Ah ah ah ah ah hv n.swali.la.kujiuliza piga chini kamata manz mwingine..ila fresh kuwa na.madem.hata zaid ya watatu npouwa hzo stress za kijinga huta kuwa nazooo......

Anyway vjana hata km tumeoa jaman mabint n weng tuwape msaada ngono kadr tuwezavyo
 
Kunywa mkojo wako ukinuia kumsahau. I heard that it helps na nikaona wanao confess kuwa it helped them
 
umfumanie demu wako then ukimbilie JF,,,, pumbafu sana wewe mtoto....
 
Hongera kumjua mhisani mwenzio...zidisha hisa walao ufikie 51% ujimilikishe, laa mtumieni tu kwa ubia!
 
Back
Top Bottom