Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Bro nakushauri kama una tumiaga kitwanga, hebu nenda ukapate kitwanga moja bariiidi then rudi ulale kesho uamke na supu ya mapupu.

na kama hautumii kitwanga basi waweza kupata muda wa ku relax yourself. kama kuna mtu ambae huwa ukiongea nae unafurahi apart from huyo nyoka unaweza kumpigia simu ukafurah japo kwa dakika.

lengo ni kukaa mbali na huyo bidada kwa sababu mawazo unayowaza kumfanyia huyu dada uliyo nayo leo ni tofauti na ya kesho, and am sure ya kesho yatakuwa ni ya busara zaidi
 
Wew ni
he or she?
Nijibu kwanza afu nikupe ushauri
 
sawa bro
 
Mkuu achana na mademu wa karibu jau coz ukiachana nae ni heri na ni hatar ugomvi hutoisha hapo mtaan na zarau kibao atakuonesha kiufup jiandae na matusi yake huyo shem we2 mcharuko
kwani ni ME?mbn kaandika kama KE?
 
Habari za usiku huu wakuu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo.Nilikua na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

"Nilikua simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah!!Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida.

Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.

Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.
NAWASILISHA.
"Nilikua na mpenzi ambaye nilimpenda sana" -kumbe tayari hakuhusu,jishauri mwenyewe...au ukishindwa kunywa sumu ujipumzikie mwaya!
 
piga kakiroba upate maamuzi. Nawe uchumba miaka yote hiyo afu ubadhani utakua alone kwa kizaz cha sasa?
 
Habari za usiku huu wakuu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo.Nilikua na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikua simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah!!Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida.

Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.

Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.
NAWASILISHA.
Achana nae utapata mwingine huyo atakutesa...
 
miezi minne unalialia .....acha ubinafsi angekua muaminifu unafikiri ungekua nae wewe
 
Habari za usiku huu wakuu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo.Nilikua na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikua simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah!!Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida.

Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.

Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.
NAWASILISHA.
tafuta tindikali ummwagie usoni or tafuta dumu la petrol ukamwagie nyumba yao umuwashe moto umchome kabisa
 
Back
Top Bottom