Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Pole...miez minne tu ndio unatoka povu kiasi hicho....inawezekana ww ndio haukufanya upembuzi yakinifu. Inawezekana ww ndio ulikuwa mwizi wa mchumba wa watu... decision is urs...uachane nae au laa...lakn me nakushaur uachane nae. Coz inaonekana alikutaman tu. Miez minne ni michache sana kwa mpenz mpya kuanza kucheat
 
Hivi usha malizana na tcu? Nakushauri fikiria maisha ya utakaowazaa zaidi kuliko hao unaowapenda wkt hujawa tayari
 
Pole, sasa unatetemeka nini, we achana naye anza maisha upyaa
 
Huyo acha awe kitoweo chako tafta mwingine wakuoa...akija we piga kama bado unahitaj
 
ukimwacha atakudharau sana mtaani sasa cha kufanya jifanye kama hujui au umesamehe yote peleka barua kwao ya kuoa c unasema ni mchumba wako fanya process zote za ndoa then cku ya harusi husitokee mwache peke yake hyo ndo itakuwa dawa yake
 
Haya mambo ya kuhusiana na dem mmoja ndo yaliponishindia mimi. Wacha niendelee kuwa malaya tu.
 
Wazinifu katika ubora wao we....Acha Uzinifu...
 
Pole kaka...... tafuta vitu vya kukuweka busy msahau. Muombe Mola akupe mke na mpenzi aliyekupangia yeye
 
Back
Top Bottom