Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Ushauri: Nimemkuta mpenzi wangu live ananisaliti

Pole sana mkuu. Hawa watu hawataacha kukushangaza. Mshukuru Mungu umejua rangi zake halisi. Utampata mwingine. Usijichukie mkuu. Msamehe na uachane naye. Then endelea na maisha yako.
 
Habari za usiku huu wakuu.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo.Nilikua na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu ninaoandika hapa JF.

Nilikua simfuatilii mienendo yake kwasababu nilikua sitaki kuumiza moyo wangu, najifahamu hali ninayokua nayo kama nikijua mpenzi wangu anamtu mwingine.

Daaah!!Sasa leo nimemkuta na mtu mwingine wamekumbatiana huku anamkiss, kusema kweli nimeumia moyo. Hapa nilipo nina hali mbaya maana najikuta mwili unatetemeka kwa hasira kila nikikumbuka tukio. Kichwa nacho kinaniuma.

Sijui hata nifanye nini ili nirudi katika hali ya kawaida.

Nimekuja hapa mnisaidie jinsi ya kuondoa hii hali, kila nikijaribu kuiondoa nashindwa kwasababu kila nikisikia tu sauti yake hali inajirudia. Ieleweke nakaa nae mtaa mmoja, ni nyumba ya tatu kutoka ninapoishi.

Mnisamehe kama kuna makosa ya uandishi katika thread yangu, sipo vizuri kabisa now.
NAWASILISHA.
yaani kukumbattiana tu unalia hivyo? come on, je ungepata wanagegedana/? labda ni ndugu yake walikua wanakumbatiana afu wakabusiana
Hivi we mmanga au baniani sijui kama zinakutosha.
 
Pole sana mkuu. Hawa watu hawataacha kukushangaza. Mshukuru Mungu umejua rangi zake halisi. Utampata mwingine. Usijichukie mkuu. Msamehe na uachane naye. Then endelea na maidha yako.
asante mkuu kwa ushauri wako
 
Sasa sikilza wew mtoto wa kiume izo mambo za kulia lia apa sio mahala pake we tafuta demu mwingne tena mbali na apo mtaani..
Siku shauri kua na demu afu wote mna kaa mtaa mmoja apo chenga nenda kitaa kingne opoa mtoto mwngne saafi tena sas ivi kuna hao form6 leaver wana ukame balaaa ushindwe wewe tuu..
[emoji91] [emoji91] [emoji95]
 
Ungesema hivi, chadema wanaandmana ili polisi waje wakusaidie kukabiliana na mwizi wako.
 
Sasa sikilza wew mtoto wa kiume izo mambo za kulia lia apa sio mahala pake we tafuta demu mwingne tena mbali na apo mtaani..
Siku shauri kua na demu afu wote mna kaa mtaa mmoja apo chenga nenda kitaa kingne opoa mtoto mwngne saafi tena sas ivi kuna hao form6 leaver wana ukame balaaa ushindwe wewe tuu..
[emoji91] [emoji91] [emoji95]
sawa mkuu
 
Hahaaaa huyu jamaa asiporilax kwa hizi shauri za ramli ntajua kalogwa na huyo demu wa😛
 
Hivi we mmanga au baniani sijui kama zinakutosha.

Mkuu mimi pia huyu dada kanishangaza sana...mwenzake yuko kwenye maumivu yeye anamfanyia kejeli. Dizaini tabia zake zinafanana na za huyo msichana aliyemsaliti mshkaji
 
Sijapata pesa mamii,yaani nimechacha kichizi,kama utanisaidia japo nipate viroba vinne tu mamii.
nilikwambia ukishapata pesa ndio uje kuongea na mie. sasa endelea kutafuta pesa usije kua kama huyu bwege hapa
 
nilikwambia ukishapata pesa ndio uje kuongea na mie. sasa endelea kutafuta pesa usije kua kama huyu bwege hapa
Sawa mamii,lakini kumbuka siku nikipata pesa za uhakika ujue kitanuka,labda usije ghetto,ukija nitahakikisha nasimamia kucha mpaka ifuke moshi.
 
Back
Top Bottom