BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,513
- 474
Nawasalimuni nyote!
Naamini mu wazima.
Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;-
Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani kusoma Master of Public Policy.
Scholarships zote ni za miaka 2 na kote wananilipia pesa ya ada, tiketi ya ndege na mahitaji mengine yote ya Chuo ikiwemo bima ya afya.
Naombeni ushauri wenu je nichague kwenda wapi maana kote natakiwa kwenda mwezi wa 7 mwaka huu 2023.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote!