Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,046
- 2,477
Me nilikuwa ukraine ilivoanza vita nikaja sudan hapo napo kuna vita imebid nirud bongo naona bora niwe mwanajeshi vita zinanipenda
1. Ufaulu wako wa undergraduate uwe kuanzia wa GPA ya 3.5 na kuendeleaTupe connection na sie.
Wakenya wanatoa sana connection kwa wenzao thus wapo Duniani nzima hadi nchi ndogo.
Wabongo ni nchi kubwa tu.
Huwezi mkuta mbongo mfano Malta,Beralus,Serbia, Uruguay lakini wakenya wamejaa huko
Pole sana ndugu yangu.Me nilikuwa ukraine ilivoanza vita nikaja sudan hapo napo kuna vita imebid nirud bongo naona bora niwe mwanajeshi vita zinanipenda
Mwanangu nenda china.ukitoa Dubai china ndo nchi inayoongoza Kwa biashara za Tanzania.Ukisoma china utajua machimbo mengi ya biashara hata hyo ajira ikija kubuma huko mbelen unakomaa na biashara Kwa sababu machimbo mengi utakuwa ushayajua ya wachina.We unadhan hawa Kina zahor sijui Infinix na Tecno wanatoa wap hizi trending phones.Nawasalimuni nyote!
Naamini mu wazima.
Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;-
Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani kusoma Master of Public Policy.
Scholarships zote ni za miaka 2 na kote wananilipia pesa ya ada, tiketi ya ndege na mahitaji mengine yote ya Chuo ikiwemo bima ya afya.
Naombeni ushauri wenu je nichague kwenda wapi maana kote natakiwa kwenda mwezi wa 7 mwaka huu 2023.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote!
Hii kwa watumishi ipo poa wao Wana dhamana ya uhakika kupitia ajira zao1. Ufaulu wako wa undergraduate uwe kuanzia wa GPA ya 3.5 na kuendelea
2. Uwe unapita kwenye websites za vyuo vikuu mbalimbali (in short utenge muda wa kuwa una-search kwenye mtandao mara kwa mara) mi muda wangu mwingi nautumia hivyo na nina Magroup 5 tu ya WhatsApp
3. Uwe na nyaraka stahiki, uwe pia na wadhamini/recommenders wa uhakika na unaowaamini na ambao wako tayari kuku_recommend. Katika hili ufuatiliaji wa kina unahitajika maana huwezi kuwa admitted bila kuwa na recommendation letters kadhaa.
EnglishTeaching language kwako ni lugha ipi
Atakuwa silent ocean rafik yako huyoMwanangu nenda china.ukitoa Dubai china ndo nchi inayoongoza Kwa biashara za Tanzania.Ukisoma china utajua machimbo mengi ya biashara hata hyo ajira ikija kubuma huko mbelen unakomaa na biashara Kwa sababu machimbo mengi utakuwa ushayajua ya wachina.We unadhan hawa Kina zahor sijui Infinix na Tecno wanatoa wap hizi trending phones.
Binafsi nataman Sana nikapuyange china kibiashara,china Ina fursa mingi Sana Yani karibia k.koo yoote tunategemea bidhaa za china ila tunazidiana Quality ya hizo bidhaa tu.
Kuna mwanangu Moja alienda kusoma china,Ile kamaliza tu shule akafungua na kampuni yake ya Cargo na ndo Iko inafanya vzr Sana Kwa ss.siwez kuitaja hapa
Best luck Jamaa.
Yy yuko upande WA anga jamaaAtakuwa silent ocean rafik yako huyo
Kwa sasa fursa nyingi ziko China kuliko Ulaya na Marekani.Nawasalimuni nyote!
Naamini mu wazima.
Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;-
Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani kusoma Master of Public Policy.
Scholarships zote ni za miaka 2 na kote wananilipia pesa ya ada, tiketi ya ndege na mahitaji mengine yote ya Chuo ikiwemo bima ya afya.
Naombeni ushauri wenu je nichague kwenda wapi maana kote natakiwa kwenda mwezi wa 7 mwaka huu 2023.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote!
BUCHANAGANDE Chukua huu ushauri.Kama unamalengo ya kufanya biashara, nenda China utengeneze connection. Lakini kama huna malengo hayo nenda Ujerumani ukapigwe na baridi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu as long ni nje ya Tanzania nenda tu. Huku kuna mnada, wameanza na bandari. Sasa wakifikia kwenye watu halafu mnunuzi ni mwarabu unadhani what will happen
Jamaa aje atoe ilimu hapa BUCHANAGANDEWenzetu mnapataje Scholarships jameni???