Ushauri: Nichague kwenda China au Ujerumani???

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,513
474
Nawasalimuni nyote!

Naamini mu wazima.

Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;-

Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani kusoma Master of Public Policy.

Scholarships zote ni za miaka 2 na kote wananilipia pesa ya ada, tiketi ya ndege na mahitaji mengine yote ya Chuo ikiwemo bima ya afya.

Naombeni ushauri wenu je nichague kwenda wapi maana kote natakiwa kwenda mwezi wa 7 mwaka huu 2023.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote!
 
Nenda Germany achana na China
 
Nenda Germany sababu ya ubora wa elimu yao
 
Mkuu Mimi sina ushauri maana nipo hapa hapa bandarini,
ila ombi langu naomba sana sana unipe mbinu ipi umeitumia kupata scholarship ujerumani na mimi ni apply,
nahitaji gateway ya kutoka humu ndani msaada tafadhali
 
Nawasalimuni nyote!

Naamini mu wazima.

Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;-

Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani kusoma Master of Public Policy.

Scholarships zote ni za miaka 2 na kote wananilipia pesa ya ada, tiketi ya ndege na mahitaji mengine yote ya Chuo ikiwemo bima ya afya.

Naombeni ushauri wenu je nichague kwenda wapi maana kote natakiwa kwenda mwezi wa 7 mwaka huu 2023.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyote!
1686513821478.png
 
Back
Top Bottom