Ushauri: Nataka kununa Noah ya biashara

Nuna tu mrembo ili tukupige kilahisi na vijisenti vyako vya mkopo!
chezeya madereva weye!?
 
anzisha biashara ya vipodozi dada...gari wavulana wakiwa madereva watakufilisi tu.
 
Usinunue bidada biashara ya noah ishaingia zengwe,sumatra kama sikosei wamezikataza kuendelea kubeba abiria zaidi ya km40,zile ambazo zinafanya kazi zaidi ya umbali huo trl zao zikiisha tu kwishnei inawalazimu wazisajili kwa root za umbali wa km40,so kama wewe root zako ni hzo,au utaifanya kama ni tours au ya kubebea watoto wa shule poa
 
Kuwa mbunifu ndg yangu,usiige biashara kama hii utajuta kuzaliwa.
Nakushauri tazama fursa nyingine ktk eneo unaloishi/nje ya eneo unaloishi.
 
fanya biashara za kutumia akili dada na maarifa..

sizani kama ni sahihi kurisk milion 15 zako na zaidi kuweka barabaran na noah huku madereva wenyewe wehu na ma traffic wehu
 
ukiwa na tender kama ya kubeba stuff kwenye makampuni au mahotelini inalipa sana ila kumpa derefa asanye abiria mhh kichwa kitakuuma kwa stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom