iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,133
Aseeh, me ni kijana nmejitahidi kutafta mtaji kwa muda mrefu, nmepata kiasi kidogo nataka niingie kwenye biashara ya uber/bolt ya bajaj, nipeni muongozo na ushauri wenu jaman
Kuwa specific nini hasa unahitaji kufahamu., nipeni muongozo na ushauri wenu jaman
Kuwa specific nini hasa unahitaji kufahamu.