Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu. Nataka kuachana na kazi ya ualimu wa serikali. Hivi sasa nafundisha sekondari ya serikali kwa mwaka mmoja sasa. Awali nilikuwa nafanya kazi katk sekondari ya binafsi iliyopo chini ya shirika la dini la katoliki. Mkuu wa shirika ameonyesha kunihitaji na kunipa ofa kubwa ya mshahara wa 1M kwa mwezi na ofa ya accomodation. Nawakaribishen kwa mawazo, hoja maoni na maono juu ya uamuzi nao tarajia kuufikia