Ushauri:Nataka kuacha kazi ya ualimu serikalini

Ushauri:Nataka kuacha kazi ya ualimu serikalini

Hakuna risk maana dhamana ya mkopo ni ajira na wewe utakuwa umefukuzwa kazi
Sasa nikishafukuzwa kazi nani atalipa mkuu. Nipe darasa mkuu nipo shallow kwenye FINANCE ACTS hata maswala ya RISK nina narrow concepts
 
Serikalini kuna Opportunity ya kupata mkopo benki ambao utakufanya ujenge na kununua walau usafiri kama unahitaj.
Hata private hiyo mikopo ipo kama wafanyakazi wa serikalini tu. Ukiwa unasikiliza stori za mitaani utajikuta unajazwa ujinga mwingi sana Ila ingia uone mwenyewe. Hivyo kama mshahara ni zaidi ya serikalini aende tu kwani unapozungumzia taasisi za Romani siyo kama taasisi za mtu binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mshahara ghafi wa 1 M private Take home inasoma 800,000hivi. Basic ya 716,000 take home ni 440,000. Hapa mkuu hujaiona tofauti. Afu kupanda madaraja sasa ni kwa manati sana mchongo mzima anausimamia mkuu wa shule kwa mujibu wa mwongozo mpya wa OPRAS FORM. Sasa unaweza piga kazi hata miaka 10 hupandi daraja mzee
Una mkopo wa bodi?
Km una mkopo jua ni 43% ya mshahara ndo makato yako.
1m unapokea 600k hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mkopo wa bodi?
Km una mkopo jua ni 43% ya mshahara ndo makato yako.
1m unapokea 600k hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mangii nimepiga kazi kule tangu shule imeanza bodi hawajawai fika hukoo. Watumish waalim wa pale PRIVATE wote tulikuwa loan board beneficiaries lakn hakuma hata mmoja anaekula panga la HESLB sasa ni miaka. Shule lipo chaka sana
 
Kama hamna bodi utapojea 800k, lkn hapo ondoa bima ya afya.

Kuna fursa za mikopo?
Pension unachangia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mshahara ghafi wa 1 M private Take home inasoma 800,000hivi. Basic ya 716,000 take home ni 440,000. Hapa mkuu hujaiona tofauti. Afu kupanda madaraja sasa ni kwa manati sana mchongo mzima anausimamia mkuu wa shule kwa mujibu wa mwongozo mpya wa OPRAS FORM. Sasa unaweza piga kazi hata miaka 10 hupandi daraja mzee
Hata ukiwa unalipwa pesa nyingi kiasi gani si kitu mkuu.cha msingi kuwa na nidhamu na pesa ndogo.

Kumbuka private Kuna risk nyingi Kama shule kufa,kufutiwa usajili,kucheleweshewa salary ila huyo mtu amekuahidi mazuri usiwe na matumaini makubwa Sana na hiyo laki 8 take home maana utakapoanza kuishika utaiona ndogo Sana kuliko serikali upo free Sana kama kudevelop ni akili za mtu.

Ebu jiulize deiwaka hana uhakika wa kupata hela lakini kajenga Sasa wewe Mwl wa serikali una bima ya afya na uhakika wa kupata hizo laki 440,000 kwa mwezi unashindwa nini kumove ?

Mwisho uamuzi ni wako mkuu kila la kheri .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha sign mkataba mpya. Nenda bank katoboe salary slip maana mkopo ule hua una bima. Chukua 7m halafu kazini huagi na huendi tena (watakufukuza wenyewe)

Unaenda kuanza kazi huko private na 7m(kama unaweza kukopa zaidi ya hapo chukua zote) fanyia biz zako kama ni investment utajua mwenyewe.

Chondeconde usiondoke serikalini bila kujilipa
dah umempa bonge la dili
 
Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu. Nataka kuachana na kazi ya ualimu wa serikali. Hivi sasa nafundisha sekondari ya serikali kwa mwaka mmoja sasa. Awali nilikuwa nafanya kazi katk sekondari ya binafsi iliyopo chini ya shirika la dini la katoliki. Mkuu wa shirika ameonyesha kunihitaji na kunipa ofa kubwa ya mshahara wa 1M kwa mwezi na ofa ya accomodation. Nawakaribishen kwa mawazo, hoja maoni na maono juu ya uamuzi nao tarajia kuufikia
Bado hujafikia maamuzi wewe upo kwenye kujishauri nini ufanye tamaa imekutawala hapo hapo kipato kidogo kutoka kazi unayofanya kinakuumiza kichwa. Naona upo njia panda. Nakushauri kaa chini fikiria tena kwa utulivu na utapata jibu na kuchukuwa maamuzi ila kwa kutaka ushauri sehemu kama hii kumbuka tu penye wengi pana mengi Kila mtu atakushauri kulingana na situation yake aliyokuwa nayo yeye na jinsi anavyoyachukulia maisha ya kuajiriwa ama kujiajiajiri.

.
 
Back
Top Bottom