Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,519
- 5,423
- Thread starter
- #21
Mkuu mkopo inayotolewa kwa waalim wa serikali haizidi milion 12. Afu siamin katika mikopo mzee kwan inawatesa waalim wengi sana najionea mwenyewe. Waalim wengi wanateswa na mikopo. Wengi wamechukua mikopo na kuweza kwenye vitu fixed visivyozaa. Sasa ni msoto, maisha wanayoishi kiasi kwamba naogopa mikopoSerikalini kuna Opportunity ya kupata mkopo benki ambao utakufanya ujenge na kununua walau usafiri kama unahitaj.