manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Na ninafurahia uamuz wangu , what am earning sasa hv, hata prof hapati , wenzangu wataka hitimu na degree zao watakuta nishawaandalia kaz , watafanya kaz ofisin kwangu , Hapa ndipo uamuz wangu utaonekana ulikua wa busara au la , usiogope maisha , life is full of options , elimu inakuja kama option pia
Hongera mkuu lakini hiyo iko applied miaka hiyo ndo uliweza fanya hivyo je hawa division 5 anaweza fanya hivyo? Hizo fursa zipo? Maana kila kukicha afadhali ya jana. Na pia problem ambayo ulisolve jana kwa theory flani usije fikiri problem ya kesho utatumia similar theory. Anyway wacha tumshauri Bwana mdogo lakini mwenye maamuzi ya mwisho ni yeye.