Ushauri: Nanyanyaswa na mke wa baba yangu mdogo

Omba wamtoe mfanyakazi wewe upate hio hela wakati unajipanga.
Kiukweli huwa inachosha mtu hadi 23 yrs hajielewi.

Inahitaji uvumilivu.
Ushauri wewe kama unahitaji msaada kaa kwa adabu. Acha kusikiliza marafiki. Saidia kazi hapo kwa bidii kuliko huyo mfanyakazi.

Kwa uzoefu mm milipomaliza form 6 japo nilikuwa mdogo sana 16 yrs. Nilijikuta kwa ndugu na kulikuwa na watoto wadogo na bibi. Nilifanya kazi hadi wakaanza wenyewe kunipa pocket money.
Walikuwa wanashangaa sana kwani kwa wazazi wangu mimi ni last born na wafanyakazi walikuwa 2. Ila tu tulishazoeshwa hakuna kupumzika mtoto kama kuna mtu yoyote ana shughuli yoyote. Haijalishi wewe ni ndugu mtoto au mfanyakazi.
Ila kiukweli vijana wa siku hizi mna sheeeeda!!!
Hv unapewa hela ya vocha na nani?[/QU
"INACHOSHA MTU KWELI HADI 23 YRS HAJIELEWI" Mkuu unamaanisha nini?
 
Kqa hiyo ulishapata kazi

Halafu ukakataliwa kuanza?

Ulivyo mjinga na wewe umeyakalisha tu hapo??

Ndio maana unanyanyaswa...mwenyewe hujielewi

katika post zote za ushauri yako tu ndo ya haina akili, hebu jaribu kujishitukia uangalie post za wenzako then uangalie na ya kwako , kama post yako haina akili wewe utakuwaje? Sahamani kama umekereka.
 
Miaka hiyo ya wapi mkuu , Nina umri sawa na huyu alieandika post , sema wakat Nina miaka 18/19 ndio nilikua advance , tofaut na yeye kafika akiwa na 22/23[/QUOT
Sasa point yako hapo mkuu sijaiona.
 
Habari wakuu,

Mimii ni kijana wa miaka 23, nimemaliza kidato cha sita mwaka huu, tangu nianze masomo yangu kidato cha kwanza, mke wa baba yangu mdogo ananinyanyasa sana, na nilikua nasikiaga ndugu zangu wakisema yule mama ana roho mbaya sana, yeye hana mtoto hata mmoja, kama mnavofahamu kukosea kwa binadamu ni kawaida nikimaanisha kwamba ikitokea labda nimevunja glasi nikiwa naosha, yeye hatambui kuwa ni bahati mbaya yeye anajua moja kwa moja ni makusudi.

Huwa ananitishia kunifukuza kwake na hapa me sina baba na sijawahi kumuona machoni maana alishafariki mi nkiwa mdogo sana na nimelelewa na bibi na mama yangu hana uwezo. Siku zote anataka mi niwe nafanya kazi, kazi zenyewe hamna ila raha yake anataka uwe unashikashika hata madirisha ili aridhike, akiniona nimekaa anatafuta kisa anakuja anamwambia baba yangu mdogo kwamba simuheshimu.

Baba yangu mdogo nae ananijilia juu, nikikaa nje nasemwa, nikiangalia TV sebuleni nasemwa, nikikaa chumbani nasemwa. Jamani nifanyeje maisha haya maana nimevumilia sana jamani, mpaka marafiki zangu wananishangaa maana huyu mama hataki mimi niwatembelee marafiki zangu na hataki aone rafiki yoyote kwake. Nishaurini maana nilikua na drop academically shuleni kwa sababu ya kukaa na mawazo mengi.

Jamani naombeni ushauri wenu

Nawasilisha jamani
Mtafune
 
Weka namba yake ya simu hapa tumchane
 
Natumai ss mdau mtoa mada ana mji wake ni miaka 13 imepita ss na ana miaka 36
Yeah Mungu ni mwema sana, nipo na maisha yangu kwa sasa, nilipoondoka alikosa wa kumpelekesha akaanza kumpelekesha mme wake, ( baba mdogo) ikapelekea mpk ndoa ikapelekea ndoa yao kuvunjika. Miaka minne sasa hawapo pamoja.
 
Safi na hongera pia kwakuwa na mji wako. Kipi umejifunza na ushauri vijana wengine ambao ni kama wadogo zako?
 
Back
Top Bottom