Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,859
- 43,768
samahani mkuu,naomba nikuulize swali moja la msingi, unanishauri nkapange, je ntapanga vip wakati sina kipato,na mbali na kipato jana nimetoka kuongea na baba yangu mdogo nikamwambia kwamba kwa kipindi hiki naomba nitafte kazi yyte ya kuniingizia kipato na kazi nilishapata kiwanda flani hivi, cha kusikitisha nikakataliwa, na mi sio kwamba nimvivu, napenda sana kazi iwe ya aina yoyote ambayo ni halali.
Dah
Sasa na wewe hapa umeniudhi,yaani umemsikiliza baba ako umeacha kazi na unajua maisha yako hayasomeki plus kazi zilivyo ngumu sikuhizi?
.u a not serious