Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

Jitafakari alafu ujipambanue kama una akili timamu katika nyanja ya hisia
 
......alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Kimbia braza' huyo ni Malaya atakusumbua katika ndoa yako na maisha yako yote
 
Mkuu kama mpenzi wako ni nesi hiyo hesabu maumivu tu. Kuna zile zamu za usiku lazima mbunye ichakatwe kwenye hizo zamu. Hata kama mpenzi/mke ni mgumu kiasi gani,kwa zamu zile za usiku ipo siku tu ataangukia kwa baharia doctor wako wote zamu,atapigwa mbupu tu
 
Wajinga ndio waliwao

Alafu wee mjinga, Ivi unadhan aliyesema, mchawi mpe mtoto akulelee alikosea???

MTU MBAYA DAWA YAKE NI KUHAKIKISHA AMEJUA KUA UNAMJUA NIMBAYA WAKO NA ANAKUTENDEA UBAYA.

BAADA YA HAPO UNAKAA KIMYAA SANA YAAN KIMYA.

atabaki anawazaa, unampangia kumpasua kichwa ???? Au nn???

ENDELEA KUKAA NA LISIRI LAKO LAKIJINGA, UNAJIUMIZA
Mkuu! Kama kuongea points kuhusu hizi mambo upo juu sana...let me appreciate you..
 
iyo kunguru yako ipo juu ya kichwa yako aifai kuoa ishakujua ww zoba tu haufai kuwa dereva wa maisha yake ndo maana huna sauti kwake kifupi we mario tu ka mario wengine kama unataka maisha ya amani mwache ata akuectie kulia vip ila ka unataka ndoa na maisha yako yawe magumu endelea nae ila jiandae kuwa mwanafalsafa wa mapenzi
 
Habari za Jumapili.... Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila Simu yangu akija lazma aishike na aikague kila sehemu.

Juzi alikuja wakati yupo nje ananisaidia kufua, niliingia ndani nikashika mkoba wake nikakuta kuna simu ndogo mpya ila hajawahi kuniambia kuwa ana simu ndogo niliiwasha, nikakuta haina laini ila ina sms za mapenz mfano Bby, wife, mke wangu kwa namba 3 tofauti.

Nikaizima nikairudisha kwenye mkoba na sikumwambia kama nimeona simu hiyo ndogo, baada ya muda nikatumia akili binafsi kumuuliza kuhusu sms kwa sababu sikutaka ajue kuwa nimeona simu ndogo, akaniambia kuwa hao watu wanamtongoza tu ila hajawah kulala nao na hana mpango nao.

Nikachukua zile namba alivyoondoka nikazipiga ili nijue ukweli moja ya zile namba ilikua ni namba ya Daktari ambaye wanafanya wote kazi katika hospitali moja hapo Dar, akaniambia hana yeye hana lolote linaloendelea na huyo mpenzi wangu, japo huyu mpenzi wangu alishawahi kunielezea kuhusu huyo Dkt kuwa anamtongoza.

Sasa nawaza kwanini huyu mwanamke alinificha kuhusu hiyo simu ndogo?? Na mpaka leo hajaniambia.

Je hizo chating kwenye simu nizieleweje ni kweli wanamtongoza tu au kuna namnaa hapoo??

Na kwanini hataki nishike simu yake ili hali yangu anashika muda wowote?

NB; Baada ya kumpigia yule Dkt baada ya muda mpenzi wangu alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Na tumepanga kutambulishana mwez wa 8 mwaka huu.

Ingekuwa wewe ungefanyajee??
Usithubutu kumuoa
 
SUBIRI UPIGWE KWANZA NA KITU KIZITO KICHWANI NDIO UTAKATA RUFAA.
 
Kwa nilivyosoma nakukuelewa mkuu uko very weak kwa uyo msichana yani haupo kiume kabisa mzee wangu!! Ebu kaza sauti jamaa... Unaanzaje kumpigia mwanamme mwenzio simu na uliulizaje?
Habari za Jumapili.... Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado.

Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye Simu yakee, hataki niishike na nikiishika nakuwa natumia nguvu sana, na anasema hataki nimkague ila Simu yangu akija lazma aishike na aikague kila sehemu.

Juzi alikuja wakati yupo nje ananisaidia kufua, niliingia ndani nikashika mkoba wake nikakuta kuna simu ndogo mpya ila hajawahi kuniambia kuwa ana simu ndogo niliiwasha, nikakuta haina laini ila ina sms za mapenz mfano Bby, wife, mke wangu kwa namba 3 tofauti.

Nikaizima nikairudisha kwenye mkoba na sikumwambia kama nimeona simu hiyo ndogo, baada ya muda nikatumia akili binafsi kumuuliza kuhusu sms kwa sababu sikutaka ajue kuwa nimeona simu ndogo, akaniambia kuwa hao watu wanamtongoza tu ila hajawah kulala nao na hana mpango nao.

Nikachukua zile namba alivyoondoka nikazipiga ili nijue ukweli moja ya zile namba ilikua ni namba ya Daktari ambaye wanafanya wote kazi katika hospitali moja hapo Dar, akaniambia hana yeye hana lolote linaloendelea na huyo mpenzi wangu, japo huyu mpenzi wangu alishawahi kunielezea kuhusu huyo Dkt kuwa anamtongoza.

Sasa nawaza kwanini huyu mwanamke alinificha kuhusu hiyo simu ndogo?? Na mpaka leo hajaniambia.

Je hizo chating kwenye simu nizieleweje ni kweli wanamtongoza tu au kuna namnaa hapoo??

Na kwanini hataki nishike simu yake ili hali yangu anashika muda wowote?

NB; Baada ya kumpigia yule Dkt baada ya muda mpenzi wangu alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??

Na tumepanga kutambulishana mwez wa 8 mwaka huu.

Ingekuwa wewe ungefanyajee??
 
Miaka 5!!!!

Kaka

Acha wakumegee tu

Ukija kushtuka mwenzio anasaini cheti cha ndoa na daktari!!!!
 
MTU MBAYA DAWA YAKE NI KUHAKIKISHA AMEJUA KUA UNAMJUA NIMBAYA WAKO NA ANAKUTENDEA UBAYA.

BAADA YA HAPO UNAKAA KIMYAA SANA YAAN KIMYA.

atabaki anawazaa, unampangia kumpasua kichwa ???? Au nn???

ENDELEA KUKAA NA LISIRI LAKO LAKIJINGA, UNAJIUMIZA

huko mwishoni nimecheka sana...
Unaona lakini wanaume wenzako wanavyo kuleti dauni
Maana naona umepambana kuwapa codes lakini wapi unaelekea kuchoka kuwaelewesha
 
Wanawake hawaeleweki mkuu , Wanafalisafa wengi duniani wameshindwa kung'amua Wanawake wanataka nn kina Albert, Isac Newton na Darwin pamoja na sayansi zao wameshindwa kuelewa wanawake wanataka nn sembuse we ? Kuna Mwanafalisafa mmoja pekee aliegundua Wanawake wanataka nn na ushahidi wake ulionekana kukubalika na watu wengi alisema "Wanawake wanataka pesa ukiwa nayo watatulia" cha kushangaza sasa baada ya Bill gate na Melinda gate kuachana huyu Mwanafalisa ameenda Chaka saiv karud Tena kufanya research Cha msing ukijua kuishi na hawa viumbe hawatakupa shida we jilie mbususu tu mengine hayakuhusu wahuni Wana msemo wao kwamba Kama pisi inatokea location fresh ukiwa na haja zako unamaliza mishe zngne cjui anatoka na Nan haina Maana

Lakini Carlos The Jackal anawaelewa yeye ndio mwanaume wa kwanza kuwaelewa wanawake
 
Uwii hahaha, hizo ni ni maneno tu za watu

Kwenye Uwanja mambo ni tofauti.

Sijisiiifi wala nn

Wanawake kwasasa nahuko mbeleeen. HAMTAKAA TENA KAMWE KUNIPA UGUMU.

Unajua Maya, wee ongea, ila Tambua kua unaongea na mmywanaume anayejikubali kwa kila kitu.
 
Mkuu Ulitaka kumla bata hutakiwi kumchunguza sana.
Ninamaanisha nini, kuna vitu unatakiwa umuweke wazi kuwa unapenda na nini haukipendi kama anakuheshimu na anakuhitaji basi atabadilika ataonesha tabia njema.

1. Mimi iliwahi kutokea hivyo kwa Huyu mpenzi wangu nilie naye. Nilikaa nikamweleza aina ya mke ninayemtaka hivyo nikamtaka kwa lugha ya chini huku nikimbembeleza kwa hisia kuwa abadilike, ni kweli alibadilika na akaongeza na tabia nyingine nzuri.

2. Kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuna wanawake huwa hawataki kushauriwa vitu hivyo kuwa makini sana. Unatakiwa ucontrol akili yako iamini kuwa hana mpenzi mwingine zaidi yako (Mind manipulation) hii iko psychological zaidi ukiweza itakusaidia.

3. Achana kabisa na kuwaza kushika simu yake. Mkuu ukifanikiwa kuizuwia akili yako kuwaza kuhusu simu yake basi utakuwa umejiondolea mzigo wa panic, stress, na matatizo ya moyo.

4. Kama hamuishi wote mwambie akija nyumbani kwako au sehemu yoyote mnayokutana basi asiwe busy na simu hata kidogo.

Yangu ni hayo tu naomba kuwasilisha.

KIJISTORI KUNIHUSU MIMI.
Mimi nilibahatika kusoma mambo kidogo ya hacking huko mitandaoni, hivyo niliwahi kumhack mpenzi wangu lakini nilijuta, kadri siku zilivyozidi nilianza kupata mahasira hadi kazini, mtaani hadi kwenye daladala.
Nakumbuka siku moja nipo kwenye daladala konda aliuliza kituo
Konda: Nyegezi Kona wakushuka
Mimi: Konda acha u-s-e-n-g-e nipitilize gone(KWA SAUTI YA UKALI SANA).
Kwanza sijui kutumia maneno makali kama u-s-e-n-g-e, lakini niliyatumia ndani ya mwezi mzima.
Pili nilikuwa na hasira kwa sababu konda sikuwa nimemwambia awali kuwa ninashuka kituo alichokitaja konda.
Tatu wakati konda anauliza kituo kinachofuata nilikuwa bado hatujafika kwa wao uifahamu geographia ya jiji la Mwanza tulikuwa Bohari konda aliuliza Isenyi(hakuna aliyekuwa anashuka) kisha akauliza Nyegezi kona.

Kwa leo niishie hapo Lakini, usijaribu kujihusisha na simu ya mpenzi wako kabisa kama unampenda itakuumiza na kuvunja mahusiano yenu.
Story yako nzuri,tupe hata mrejesho iliishaje
 
eti ameludi field..
Wanawake hawaeleweki mkuu , Wanafalisafa wengi duniani wameshindwa kung'amua Wanawake wanataka nn kina Albert, Isac Newton na Darwin pamoja na sayansi zao wameshindwa kuelewa wanawake wanataka nn sembuse we ? Kuna Mwanafalisafa mmoja pekee aliegundua Wanawake wanataka nn na ushahidi wake ulionekana kukubalika na watu wengi alisema "Wanawake wanataka pesa ukiwa nayo watatulia" cha kushangaza sasa baada ya Bill gate na Melinda gate kuachana huyu Mwanafalisa ameenda Chaka saiv karud Tena kufanya research Cha msing ukijua kuishi na hawa viumbe hawatakupa shida we jilie mbususu tu mengine hayakuhusu wahuni Wana msemo wao kwamba Kama pisi inatokea location fresh ukiwa na haja zako unamaliza mishe zngne cjui anatoka na Nan haina Maana
 
255759443542_status_9b25fc536b364bb3a8b7a74665ae603a.jpg
 
Huwa sielewi ni kwanini mwanaume unakagua simu ya mpenzi wako na huna maamuzi ya vitu hasi ama chanya utakavyovikuta humo.

Kwanza ni yapi malengo yako ya kuikagua hiyo simu, kama unaona huwezi kumuacha achana na simu yake utajiumiza bure mkuu. Kuna wengine ni wale wanaopita kimasihara utakuta text zao huko utapanick na kujiumiza na kumuacha huwezi.

Kwa mimi nilishajiwekea misimamo yangu juu ya hilo kwa sababu nina maamuzi mkononi.
Kwanza kama huyo manzi nilimuweka kwenye hesabu za ndoa nikakagua simu yake( ni lazma nikague kujihakikishia usalama wa moyo wangu), nikakuta ana madudu , hatajua kama nimekagua simu yake sibadili chochote zaid zaid ntaongeza mapenzi kwake kwa uchunguzi zaidi baadae namuacha taaaratiiibu bila mimi kuumia kihisia.

Kama ni wa hit and run huyo sina haja saana ya kumchunguza sana japo nae nitamchunguza simu yake( ili kuiweka afya yangu njema zaidi) maana nae akiwa kicheche ni tatizo hapo, huyu ntamuacha taratibu pia.

Sasa wewe huna maamuzi na unakagua simu.
Pole sana
 
Back
Top Bottom