Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

Car Wash is just hustle, not a sustainable business idea.

Successful people strive to build businesses and never rely just on hustles.

Mfano: Usitegemee Car Wash inaweza kuwa Conglomerate hata siku moja.

It's a hand to mouth business.
Mkuu unaandikaga vitu madini sanaa, kuna mada moja uliandika kama unataka kuacha ajira hakikisha una fanya kitu biashara inayoeleweka kama ukatoa mfano Smartcode, Maxmalipo na Jefren kama utakumbuka ile nimeishika mpaka leo.

Final business ambayo niliilenga sikuzote Carwash ila naonaga kabisa inanipa mkanganyiko kwamba hii inaweza kuwa Tangible dream business kweli mpaka niiamini yaani ulichoandika hapo juu ndio umenipa jibu kuna ile Carwash inaitwa JerryCarwash imekufa kabisa nikiunga dot na hapa naona kweli ufanye kama hustle.

Ila zipo Carwash kubwa mjini kama njia ya buguruni kwenda ilala inaitwa METRO bonge la investment kama ushawai kuiona ile ndio unanifanya niamini Carwash inaweza kuwa Biashara ya kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara inalipa mno sema watz wachoyo had wa mawazo. Hapa wajuzi wapo wazoom tu.
 
Hueleweki umesimama wap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Car Wash is just a hustle, it ain't a sustainable business idea.

Successful people strive to build businesses and never rely just on hustles.

Mfano: Usitegemee Car Wash inaweza kuwa Conglomerate hata siku moja.

It's a hand to mouth business.
We all have a starting point
 
Mkuu inategemeana na sehemu, sisi huku mikoani kipindi cha mvua ndio kipindi cha kupiga hela sana tofauti na kiangazi kwani magari mengi yanakuwa yameoga tope hivyo hata uwe bahili vipi lazima uje uoshe gari yako
 
Nina wazo la kufungua car wash sehemu yoyote ili hasa maeneo ya kanda ya ziwa. Kwa sasa kifaa ambacho ninacho ni mashine yaani naombeni ushauri wa vitu vifuatavyo:

1. Kwa anaejua eneo zuri ambalo naweza kuiweka kwa kanda yaziwa.
2. Vitu gani vingine vinahitaji ili niweze kufungua car wash yangu kwa kuzingatia saivi nina mashine tu
3. Naombeni changamoto yoyote ambayo nitegemee kutokea nikisha fungua.
4. Nipe ushauri wa ziada.

 
Njoo tuyajenge nina Car wash Mwanza Town kuna maji ya idara na sim tank njoo nikuuzie upate starting point nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…