ummtotomlito
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 536
- 651
Durex
Uje umuulize mtu wako kama hayabani....Mimi huwa nadhani hii Adha Ni Kwa wanaume woteNdomu zilivokubwa vile kwani madudu yenu yapoje? Kama za punda ama?😀
ipi ina saiz kubwa kati ya hizo ulizozipitiaKitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba kila condom ina size na hua zinaandikwa kabisa size yake kwa diameter kwenye pakti. Tatizo ni kwamba wengi tunanunua ndom kwa kujifichaficha na unamuambia aifunge haraka haraka kwenye gazeti.
Ukifika duka la dawa na ukakuta wateja wamejaa hasa kinamama, we nenda upande wa condom. Mwambie "hebu nitolee hizi condom zote hapa panga mezani kuna kitu naangalia" halafu soma moja moja mpaka utapata size unayotaka.
Wewe sema kondomu bhana mie nimeandaa jibu nikwambia jabulani na tango, kumbe kondomu anyway nunua rough riderHabari wapendwa;
Niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona,
Sasa wapendwa weekend hii kuna mchumba wangu anakuja kunitembelea na nataka tutumie kondoms kwa usalama wangu na wake maana huenda sijapona vizuri, sasa kuna baadhi ya mipira nishawahi kuitumia na kuifurahia, mfano dume, salama na rough rider. Hizo ndio nishawahi kutumia katika maisha yangu, ila zote sikuzipenda na sizipendi kwa sababu kwanza zinanibana sana na zingine zina harufu ambayo siipendi.
Nimekuja humu najua kuna wenzangu wanajua dhana hizi mbalimbali ambazo ni nzuri na zinanifaa kulingana na changamoto nilizokutana nazo, naombe ushauri juu ya mpira upi ni bora na unafaa ili zisilete changamoto nilizopitia?
NAWASILISHA.
Pharmacy bei yake ni elfu kumisijawahi ulizia hata bei yake hivi huwa zinapatikana pharmacy au kweny maduka ya vipodozi?
Wewe uliyenaye akivaa inampwelepweta ama?Ndomu zilivokubwa vile kwani madudu yenu yapoje? Kama za punda ama?😀
Ndiyo tena sana tu, wewe haikupwelepweti?Wewe uliyenaye akivaa inampwelepweta ama?
😋😋😋😋😋Bora wewe zinabana...Mimi haipiti kabisa
Ndomu zilivokubwa vile kwani madudu yenu yapoje? Kama za punda ama?[emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu ungesindikizia na kapicha ingependeza zaidi, tuone majaliwa ya muumbaji[emoji23]
Kumbe hadi kuna size?😂😂 nilikua nadhani ni free size ujueZinabana kwa kawaida ila sio anaosema sijui haipiti ana agenda yake... kuna size tofauti, sema tatizo wabongo wananunua then mbio hata hawaangalii size kuwa ni ipi..kumbe kanunua ya mtoto wa miaka 18
hahah eti bracelet au sio, sema kwenye size hapo zipoComdoms ni free size zile hawa great thinkers wa wapi jaman wengi wanalalamika hapa na wakivaa Ile ribbon inabak nene kama bracelet
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app