Ushauri: Mpira upi wa kiume unanifaa?

Ushauri: Mpira upi wa kiume unanifaa?

So Sad...

Hadi Cndom unataka masela tukushauri.....
 
aah sasa hebu fikiria yule kiba 100 na namba moja duniani watavaa size moja kisa free size

PS: sijui tupunguze kuonekana humu kidg maana lile jambo letu mwezi May
Nikifikiria jambo la May nahisi kuchanganyikiwa kabisa, acha niendelee kujifariji humu. Hivi wewe ile Performance management uliclear? Hili somo ndiyo linanitisha
 
Habari wapendwa;

Niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona,

Sasa wapendwa weekend hii kuna mchumba wangu anakuja kunitembelea na nataka tutumie kondoms kwa usalama wangu na wake maana huenda sijapona vizuri, sasa kuna baadhi ya mipira nishawahi kuitumia na kuifurahia, mfano dume, salama na rough rider. Hizo ndio nishawahi kutumia katika maisha yangu, ila zote sikuzipenda na sizipendi kwa sababu kwanza zinanibana sana na zingine zina harufu ambayo siipendi.

Nimekuja humu najua kuna wenzangu wanajua dhana hizi mbalimbali ambazo ni nzuri na zinanifaa kulingana na changamoto nilizokutana nazo, naombe ushauri juu ya mpira upi ni bora na unafaa ili zisilete changamoto nilizopitia?

NAWASILISHA.
Wewe ni mpenzi sana wa kupiga NDIZI, au siyo!
 
Back
Top Bottom