Ushauri: Mpira upi wa kiume unanifaa?

Ushauri: Mpira upi wa kiume unanifaa?

kibenten

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
499
Reaction score
511
Habari wapendwa;

Niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona,

Sasa wapendwa weekend hii kuna mchumba wangu anakuja kunitembelea na nataka tutumie kondoms kwa usalama wangu na wake maana huenda sijapona vizuri, sasa kuna baadhi ya mipira nishawahi kuitumia na kuifurahia, mfano dume, salama na rough rider. Hizo ndio nishawahi kutumia katika maisha yangu, ila zote sikuzipenda na sizipendi kwa sababu kwanza zinanibana sana na zingine zina harufu ambayo siipendi.

Nimekuja humu najua kuna wenzangu wanajua dhana hizi mbalimbali ambazo ni nzuri na zinanifaa kulingana na changamoto nilizokutana nazo, naombe ushauri juu ya mpira upi ni bora na unafaa ili zisilete changamoto nilizopitia?

NAWASILISHA.
 
Mwanaume umapataje UTI kwani wewe ni demu ..piga kavu kavu bana ....au mwanamke ndio avae kondomu
 
Zipo aina nyingine ziitwazo ",Kamastura", inamatokeo mazuri; inavipele kama "rough rider" haina harufu mbaya, ni nzuri kuitumia jaribu na mrejesho utapata baada ya kuitumia hakuna atakaye lalamika, bali ni raha kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom