Ushauri: Mpira upi wa kiume unanifaa?

Ushauri: Mpira upi wa kiume unanifaa?

habari wapendwa;

niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona,

sasa wapendwa weekend hii kuna mchumba wangu anakuja kunitembelea na nataka tutumie kondoms kwa usalama wangu na wake maana huenda sijapona vizuri,,sasa kuna baadhi ya mipira nishawahi kuitumia na kuifurahia,mfano dume, salama na rough rider.hizo ndo nishawahi kutumia katika maisha yangu,ila zote sikuzipenda na sizipendi kwa sababu kwanza zinanibana sana na zingine zina harufu ambayo siipendi.

nimekuja humu najua kuna wenzangu wanajua dhana hizi mbalimbali ambazo ni nzuri na zinanifaa kulingana na changamoto nilizokutana nazo,naombe ushauri juu ya mpira upi ni bora na unafaa ili zisilete changamoto nilizopitia?

NAWASILISHA.
tumia pepeta mkuu
 
download.jpeg

Huu utakufaa sana
 
Habari wapendwa;

Niende moja kwa moja kweny maada, mimi sio mpenzi sana wa kutumia mipira ya kiume kwenye kujaamiiana(condoms),ila kwa sasa baada ya kuugua UTI imenisumbua sana hadi nimepona,

Sasa wapendwa weekend hii kuna mchumba wangu anakuja kunitembelea na nataka tutumie kondoms kwa usalama wangu na wake maana huenda sijapona vizuri,,sasa kuna baadhi ya mipira nishawahi kuitumia na kuifurahia,mfano dume, salama na rough rider.hizo ndo nishawahi kutumia katika maisha yangu,ila zote sikuzipenda na sizipendi kwa sababu kwanza zinanibana sana na zingine zina harufu ambayo siipendi.

Nimekuja humu najua kuna wenzangu wanajua dhana hizi mbalimbali ambazo ni nzuri na zinanifaa kulingana na changamoto nilizokutana nazo,naombe ushauri juu ya mpira upi ni bora na unafaa ili zisilete changamoto nilizopitia?

NAWASILISHA.
Tumia ky full utelezi
 
kwani bolo lako lina kubwa gani hadi ndomu ibane? unahisi waliotengeneza hawakuconsider kama kutakua na madudu makubwa kama hilo? acha hizo bana tumia rough rider yenye harufu ya strawberry hautajutia. au kama vipi avae mchumba wako zile za kike(lady pepeta).
 
kwani bolo lako lina kubwa gani hadi ndomu ibane? unahisi waliotengengeza hawakuconsider kama kutakua na madudu makubwa kama hilo? acha hizo bana tumia rough rider yenye harufu ya strawberry hautajutia. au kama vipi avae mchumba wako zile za kike(lady pepeta).
Duh sema wewe sio mwanaume huwezi jua...ila huwa zinabana mpaka inauma
 
Back
Top Bottom