Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

Vumilia tu dada hio inaitawa "Sigara Bwege" ndio inamtuliza jamaa akupe upendo kama Rastafarian!
Kama ni smart smoker kama mchizi Aggrey basi we vunga ila kama anapigo za Swebe mwambie hufagili wala sio mzuka
 
Mdada angalia moyo wako unapokutuma huku ukshirikisha ubongo wako majuto n mjukuu
 
Unakaa na mvuta bangi halafu hutoi taarifa polisi?Kamripoti polisi haraka sana halafu jifanye hujui chochote kuhusu kukamatwa kwake ataacha.
hahaaa...ww utakuwa mupolisi!!! maana huwa hamna cha udugu wala nani..ni full kutekeleza sheria pasi kujali ni nani alovunja!!![emoji13] [emoji13]
 
mbona dogo Justine bieber anapiga weed na kaimba sorry ule wimbo
 
Mpeleke maombi au sehemu hizi za rehab la sivyo na wewe utavuta kisha ukawa kama nanilihu japo kwa sasa nampa big up sana amepambana na rehab na yupo poa kiukweli. Huyo ni shetwani tu. Unaweza ukawa unafurahia sana eti anakufikisha kumbe unafikishwa na demons waliomvaa huyo jamaa. Yaah, it's true endelea kukua tu katika mahusiano utajifunza mengi
 
Kuacha inataka uamuzi wa mtumiaji atapelekwa rehab kwwnye maombi kama hajaamua kuacha hatoweza
 
kwa taarifa yako hizo bangi ndo zinamfanya na yy akupende.
 
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya nifurahie mahusiano.

Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.
Hebu anza na wewe kuvuta bangi ili ujue uzuri na ubaya wake,ndipo unaweza kumpa ushauri wa kuiacha
 
Kwani kuvuta bangi ni tatizo, mbona mimi ninavuta huu ni mwaka wa kumi sasa na nina mke na watoto
 
Usimchoke...mueleze madhara ya bangi kwa kumkumbusha kila mara,na pia mueleze kwa uwazi kuwa hupendezwi na hiyo tabia.
kumweleza tu haitoshi. kitu kimeshaingia damuni. aulize na kutafuta walioacha ajue walitumia mbinu gani then aziaply kwa baby wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom