Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

Sidhani kama itakuwa na madhara katika mahusiano yenu kama ujaona athari tangia unamkubalia adi umemuelewa leo unaumiza kichwa mamii cha muhimu labda kama ungeona madhara yake ktk uhusiano wenu ila tu kama una huruma asije akawa kama ray c
 
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu, lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya nifurahie mahusiano.

Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.
Watu watakuhubiria lakini hakuna atakae kueleza siri ya mafanikio ya ndoa yake, kuna wanaovuta bange/bange na waume/wake zao. Hiyo ni siri ya ndani. Wale wanaoolewa na wachungaji inabidi ajifunze neno la Mungu bila hivyo hamtakaa nyumba moja kila mtu anawaza lake. Kama unaona hutayaweza achia kamba.
 
Unakaa na mvuta bangi halafu hutoi taarifa polisi?Kamripoti polisi haraka sana halafu jifanye hujui chochote kuhusu kukamatwa kwake ataacha.
 
Join him. The flavour is real!
unnamed (1).png

Na inaleta amani pasipo na amani.....
 
mvuta bangee mhh IPO siku atakuvutisha 2 at the end utakuja na thread "nipeni njia za kuacha bange"
 
kazi kwako si unajua watu wanaovuta bangi waweza fanya nini....kubali na matokeo yoyote lakini .....penda ua na boga ila results u face them sio kukimbia oooh sijuinini
 
Haina haja we angalia kama bange zake haziathiri matarajio yenu

Kama bange ni zile za kiofisi chukulia poa lakini kama ni zile za kijiweni daaah, jiangalie asee
 
wala usiwaze huo mmea ni poa sana coz watu wengi wanaokula huo mmea wapo peace na hawana mapepe wala mawenge. komaa nae huyo bangi isiwe kikwazo
 
Mbona Jamaica huko kwa kina Bobmale raia wote wanavuta ganja wapo peace sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom