Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

Ushauri: Mpenzi ananipenda ila anavuta bangi

mwanamke hashindw kitu akiamua. Kuna jamaa yangu alikuwa mlev kupindukia lkn mchumba wake alimbadilisha. Jamaa mpaka sasa hatumii pombe kbs kashaacha.
Tengeneza mazingira ya yy kuacha. Nenda naye kweny nyumba za ibada km ww ni mkristo akikisha siku ya j2 au jmos km ww ni msabato km ni muslim makesure ijumaa unaenda nay msikitini inatakiwa umuandae mapema. Anza kumuambia kabla ya siku za ibada.
Mkiwa wote jaribu kusikiliza wote nyimbo za dini na umwambie kwa jins gan unavyoumia yy akivuta bangi.
Pia tumia muda mwing naye ili asiwe anapata muda wa kuvuta bangi na pia washirikishe wazee ambao yy ana waheshimu.
Nadhan kwa haya machache utafanikiwa.
Siku njema dada yangu ila usichoke penye upendo ndio pa kunang'ang'ania. Ukifanikiwa kwa hili ipo siku moja atakushukuru sana.
 
Sifa ya kupenda lazima uwe na akili timamu. Sasa huyo mvutabangi ni yeye au bang lake ndo imekupenda?
Unapendwa na teja !!
Makubwa !!!!
 
hahaaaaaa kama bangi zake zinampeleka pouwa we mpende tu ili mradi avui nguo
 
Akiacha kuvuta bangi huenda ndio ukawa mwisho wa mahusiano yenu.!
 
mi nakushauri na wewe, vuta ili muende sawa. N.B. ikiwa ataacha aache Kwa misingi ya madhara yake maana ikiwa ni Kwa ajili yako atakuja kuirudia akikuchoka
 
Mvumilie na uende nae taratibu. Mjali usimnyanyapae, ipo siku ataacha tu. Huwez jua wewe ndo waweza kuwa redeemer wake
 
Wewe bangi tamu shogaangu mwache tu avute maana sigara ndo hatari bangi avuti kilasaa than ziggurat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom