Ushauri: Mke wangu mchafu

Uchafu Naona Kwa Baadhi Ya Dada Zetu Ni Kawaida We Walper Na Ustaa wote Ule Usafi Umemshinda Alafu Hujawahi Kutana Na wale Wadada Wa Chuo Aisee Mwili Mzma Pafyumu Ni wachafu Hataree Mkeo Ni wa Kishua Hajazoea Tabu Kama Vip Mtafutie House Girl Muishi Kwa Raha.
 
Nasikitishwa sana na wanawake wanaoponda huyo make ya mtoa siredi

Watu aina ya mke wa mtoa mada hawarekebishiki. Ukikaa nae wiki moja tu unanyanyua mikono hata kama una uvumilivu kiwango cha juu. Kwanza kuoga mbinde mno.

Mhmmhmhmhmh hio basi ni big problem kwakweli usafi kwa mwanamke ni automatic tu kwa jinsi miili yetu ilivo mhmmhmhmhmhmhmhmh! plus majukumu yetu ya nyumbani mhmmhmhmhmhmhmhmh
Bado watoto wetu mhmmhmhmhmhmhmhmh

Usafi hauepukiki kwakweli

Cc Smart911
 
Mrudishe kwao akafundishwe usafi. Then ndo arudi. Wenzako wanafanya hivo. Mfano kuna mmoja alikuwa hajui kupika,akarudishwa kwao. Sasa hv ni expert wa mapishi. Pole sana mkuu
 
Hahahaahhahahaahahahahaha Santeeeeeeeeeeeeeee lol namwonea huruma tu mke wa mtoa mada
Poor her..
 
Kuna wengine wanasingizia wamekaa sana boarding ndio maana hajui kazi,kuna tofauti ya kujua kufanya kazi na uchafu. Hebu fikiria mtu anavua underwear na kuitupia popote hata chini ya uvungu hapo kuitoa mpaka asikie uvundo mkalii,vyombo na watoto hali mbaya hata akiletewa housegirl hatadumu nae.
 
Sasa mzee polee hapo umeuziwa mbuzi kwenyegunia kufungua unakuta ni swala.Utajuta mkuu huyo dawa yake kuwa mkali asipoelewa kichapo asipoelewa mludishe kwao kwanza ila mchunguze kwanza usije mpiga akutupia vile vitu vyetu vya Kiafrika.
 
🙂 🙂
 

Uwiii boarding ndo pa kujifunzia sasa tena hizi boarding za kayumba sijui serikali yelewiiii

Ukitoka hapo unajua mambo mengi sana

Huyo ni nature tu au yale mazoea wanayosema wanawake tukizaa tunajisahau sana labda..

Mpaka mwanaume kutafuta ushauri nje means hio problem ni chronic. .
 
Kuna kitu umemtenda siyo bure! Jaribu kusoma hiyo meseji anayojaribu kukutumia maana inovoonyesha mwanzoni hakuwa ivo labda ulianza wewe sasa ye anamalizia
 
Jaribu kuwatumia UN wanaweza kukupa msaada....

Na sehemu nyingine unaweza kupata msaada wa kibinadamu nenda ICC....
 
Huyo atakuwa mchafu hata papuchini na mtandao pendwa.
 
Upuuzi wenu mkipewa kisoda unakimbilia kuchangisha michango na kuoa. Sasa zigo hilo ndani utumbo mtupu,kwa mimi sina ushauri huyo angekua ashahama siku nyingi.
 
Ndio tatizo la kutaka kuendesha familia kwa kufuata topic ya democracy uliyosoma form two.

Sijisifii ila kwangu najua mimi ndio kiranja mkuu, mke wangu kuna mambo najadiliana nae ila mengine hua namwambia tu akihoji namwambia huu sio mjadala ni maelekezo then nanyamaza, usiongee sana.
Sema kwa ufupi ukiwa serious
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…