Ushauri: Mke wangu mchafu

Hao ndo pretenders to be good wakati sio, ili waolewe mfundishe usafi najua uchafu unakera unalala na mtu ananuka mdomo, matakoni, kwapa hadi macho yana harufu inakeraaaa! Bora awe amevaa nguo akivua ndo hali inabadilika unaseza ukalia
 

Mkuu kuna watu ukimuambia jitahidi usafi mpenzii kuoga, swaki fua ujue umemfukuza anaona unamdharau kumbe akuambiaye ndo akupendaye
 
Pole sana mtoa mada kwa kuishi na mwanamke mchafu wa aina hiyo na hongera kwa uvumilivu uliotukuka!Kama ulivyoweza kuwasilisha hili hapa basi tafuta wanawake waliomzidi umri ambao unawaheshimu wanaweza kuwa ndugu au watu wa dini katika imani yenu na uwaeleze wamfunde mkeo kwa tabia ya uchafu,ninaamini wanaweza kumsaidia. Umesema mwanzo hakuwa hivyo basi yawezekana opia ana tatizo..sina hakika huenda akawa mjamzito imekimbilia kumfanya kuwa mvivu.Ni mawazo yangu tu.
 
Wakuu nnamachungu sana nataman kuondoka daah sjui nfanyaje na nkimfokea tu anampgia cm MAMA ake japo MAMA ake ni mtu mwema sana kwangu

Mfundishe na pia baadhi ya maeneo ya muhimu safisha. Fua shuka, tandika kitanda akija hajaoga mwambie silali na wewe! Ukienda kuoga mwambie leo nataka nikuogeshe nikupe vitu adimu mpige kabusu chaaap
 
Aiseee pole sana,heri mwanaume awe mchafu kwsbb mwanmke atasaidia kumcontrol.
Kwa mwanamke mbona hiyo ni hatari sasa, duh!
 
Kama wewe ni mwislamu mwongezee mke wa pili halafu awe msafi. Wanawake wa namna hii dawa hiyo, akiona mwenzie msafi na anajitahidi kusafisha.

Utashangaa asubuhi moja anataka kupiga deki dari au mwenzake akideki choo yeye anasafisha bafu.
 
Hivi ndo wewe jirani yangu nini? maana nakuona bro una uvumilivu balaa, lakini mkeo mbona ana sura nzuri sana ila ndani duh!
 
Ila papuchi si ni safi?

Si ni tamu?

Hayo mengine rekebisheni mdogo mdogo.
 
Mambo kusaidiana. Komaa bro, ndoa haitaki hasira
 
Wanawake wa kusini wachafu sana.
 
Mtaacha lini kutoa nje mambo yenu ya ndani ya mume na mke ?
 
Aisee hii kali
 
Labda hana elimu ya usafi. Muelimishe atakuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…