Vipi ulifanikiwa kuchukua mkopo na kuacha kazi au uliachana na huo mpango?Kuna opportunity nimeiona mahali.
Nishaifanyia intensive analysis na kuona potential yake (actually I want to take a Risk)
Tatizo nakosa vitu viwili, muda na mtaji. Ni muajiriwa serikalini na mtaji wangu bado mdogo.
Nimefikiria nichukue Mkopo taasisi yoyote ya fedha (kwa kigezo kuwa watakua wananikata kwenye mshahara) kisha niwekeze resource zote kwenye hiyo opportunity.
Pasingekua na figisu kwenye Mifuko ya pension ningeacha Kazi kisha nikachukua mafao yangu (kwa sasa yamefika almost 6 Milioni) nikatembea mbele kiroho safi.
Wakuu wangu nishaurini:
Nikisema nichukue mkopo paaap kwa kutumia ajira yangu (Mkopo nahitaji ni 5 Milioni tu) then niache kazi next month Je watanitafuta wanikamate wanipeleke mahakamani ama Makato yao watachukua kwenye Pension Fund yangu na hawatashughulika namie.
Hivi unapoacha kazi mwajiri akakuta unadaiwa Mkopo na taasisi ya fedha inakuaje hapo.
Mdogo wenu CCNP