Ushauri: Mimi mwajiriwa Serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

Ukiacha kazi mwajiri wako ndo analipa deni kama Mkopo una bima basi watalipwa na bima na hakuna atakaekutafuta baada ya siku Tano haipo kazini Sheria itachukua mkondo wake
 
Sasa ndo akaibe bank? maisha huhitaji kulazimisha sana mkuu..hapo ni kosa kama kosa lingine kwa kuwa mwajiri lazima amdhamini na ili uache kazi kuna taratibu za kufuata ikiwemo kuandika notisi ya mwezi ama masaa 24 na mwajiri wako akubali...kama una deni atakubali ili kabla ya kusaini exit form na taratibu zingine atakutaka uweke sawa mambo yako ikiwa pamoja na kulipa madeni na ku-handle over mali za ofisi n.k ndipo anaposaini kuondoka (mpaka hapo ujiulize atafanyaje ili atoke kwa mwajiri vinginevyo atatuhumiwa kwa makosa mawili ya kukimbia mkopo bank na kutoroka kazini maana hawezi kuacha kazi kienyeji na hakuna mwajiri atakubali wakati ana mkopo)
Kutoroka kazini ni kosa la jinai au kinidhamu mkuu?
 
Kutoroka kazini ni kosa la jinai au kinidhamu mkuu?
Kutoroka kazini ni kosa la kinidhamu mkuu ila mazingira niliyoandika mie ni ile mtu anatoroka / anaacha kazi kwenye mazingira ya kutoroka bila kufuata kanuni za utumishi na huku ana deni bank na mwajiri wake amemdhamini (hapo itakuwa sio kosa la kinidhamu tena maana amekimbia deni)..btw uzi ni wa siku nyingi tulikuwa tunabadilishana uzoefu kutokana na comment za baadhi ya watu na nadhani tuli-chat more than hii comment uliyoni-quote kwani kuna wadau walisema achukue ele alafu asepe na ndio hapo wengine tuliona hiyo issue inakuwa ni kosa kama kosa lingine endapo atapatikana baada ya muda flani kupita
 
We jamaa punde utaanza okota makopo,hiyo first class yako with honours na yale ma A yako plus ma special school si uyatumie kutafuta kazi yenye mshahara mzuri utakao kuruhusu kukopa hata >20M.

Kweli A zinapendeza kwenye notesboard tu sio mtaani.
 
Mkuu chukua tuu mkopo na uanzishe hyo bussesnss unayowaza bt USIACHE KAZI, mpk business yko itakapokuwa stable enough. Otherwise unaweza ukachukua mkopo na ukapotea, alafu na kazi uliyokuwa ushaacha so itakuwa ni mateso jasho na damu.
Mkuu upo na mentality ya kuajiriwa ajiriwa si kila mtu ni mwoga WA Maisha.
 
Huo mkopo unabeba bila shida na hakuna mwajiri wa kukutafta,
Na wala hakuna benki au taasisi hasa hawa bayport,
Faidika and the likely kukutafta.
Ninao ushahd Wa watu.
Na Hiyo mikopo Ina bima kwa risk kama hizo,
We beba endelea na mishe zako wakufute kazi wenyewe kwa utoro,
Hiyo hela haina dhambi.
Usisikilize ya wasiojua kitu hapo juu.
BT be careful uendako,
Biashara ndugu yangu Ina ups and down nyingi sn hadi kuja kusimama.
Utamudu kusimama?
Hasa wkt huu ambapo vimekaza????
Well said nimependa ujumbe wako mkuu.wanasema ukishindwa kutoboa Kwa rais WA Sasa basi hutaweza kutoboa,
Fursa ni nyingi na wengi walioziona waliogopa kuzichangamkia na now Ndio muda sahihi WA kupambana. Kuajiriwa humfanya mchakarikaji kuwa dhaifu. Nadhani Ndio Kitu kikuu jamaa amekishtukia.

Anastahili pongezi Kwa hatua ngumu na uthubutu WA mapambano.

Kikubwa Bima itahusika lakini pia unaweza tafuta wale wanasheria WA Mtaani ukapata ushauri zaidi.

All the best
 
Well said nimependa ujumbe wako mkuu.wanasema ukishindwa kutoboa Kwa rais WA Sasa basi hutaweza kutoboa,
Fursa ni nyingi na wengi walioziona waliogopa kuzichangamkia na now Ndio muda sahihi WA kupambana. Kuajiriwa humfanya mchakarikaji kuwa dhaifu. Nadhani Ndio Kitu kikuu jamaa amekishtukia.

Anastahili pongezi Kwa hatua ngumu na uthubutu WA mapambano.

Kikubwa Bima itahusika lakini pia unaweza tafuta wale wanasheria WA Mtaani ukapata ushauri zaidi.

All the best
kijana,huwa unafuatilia mambo ya humu? ungekuwa unafuatilia ungeelewa kwanini huyu engineer anajibiwa namna hii
 
Back
Top Bottom