Nataka kusomea kozi ya Operation of Harbour (Mobile Harbour Crane and STS)

Isaya wa njombe

Senior Member
Apr 2, 2023
181
329
Kwema?

Niende kwenye mada.

Mimi kazi yangu nalipwa mshahara laki tatu 300k nipo DSM lengo la kuandika juu Uzi nataka nikasomee hiyo kozi hapo juu kuendesha mitambo ya bandari. Nimepata chuo kipo pale Kijitonyama(Ihet)

Lengo la juu Uzi naombeni ushauri NSSF nina m5 na chuo ada nimeambiwa 2350000 nataka niache kazi ili nichukue pesa kiasi niende shule, hofu yangu naombeni uzoefu.

Je, hii kozi soko la ajira likoje au ni mtambo? Ipi nikisomea angalau kuna upepo wa hata kupata deiwaka?

Nimefanya maamuzi hayo baada ya kuona mshahara wangu haukidhi mahtaji.

Pia sioni future kwenye maisha yangu, watu mnaopitapita bandarini ushauri wenu tafadhali

Ahsanteni.
 
Kazi nzuli sana io maeneo ya kazi sio bandalini tu ata kwenye miradi uwe tu na connection View attachment 2579360View attachment 2579359View attachment 2579361View attachment 2579358
20220310_084236.jpg
 
Asante mkuu unanishauri VIP mi sina connection yoyote ila nataka nisomee na Nina last coin kwenye mfuko wangu ushaur wako tafadhar
 
Hallo hizo hela za Nssf sio za kutegemea kwani kuzipata mpaka utapofikia 60yrs.... So komaa na kazi ila jaribu kuanzisha biashara, ishi kwa bajeti ndugu! punguza wamama na matumizi yasikuwa ya lazima!
 
Back
Top Bottom