Katika hali ya kusikitisha na kuonyesha jinsi gani bwana Meshack Nzowa hajiandai kabla ya kufanya kipindi, leo katika show yao ya asubuhi ameongea vitu vinavyopotosha watu na hivyo kushusha hadhi ya redio yao.
Moja, akiongelea ni kwa nini matumizi ya nyavu ndogo hayaruhusiwi kwa uvuvi bwana nzowa amesema ni kwa sababu zile nyavu zinaweza kuwaponyoka wavuvi kutokana na udogo wake, na zikiwaponyoka inakua ngumu kuzipata, ukweli ni kwamba udogo wa nyavu unaoongelewa ni wa matundu, kwa hiyo kutumia nyavu zenye matundu madogo kunasababisha kuvua samaki wadogo ambao wanatakiwa waachwe wakue.
Mbili, akiongea kwa uhakika kabisa anasema alimsikia Job Ndugai akimwambia halima mdee 'unawashwawashwa nini?' akasisitiza kwamba eti yeye kwa macho yake alimuona ndugai akipeana mikono na halima mara baada ya bunge kwisha, Ukweli ni kwamba kauli hiyo ilitoka kwa mabuba na sio kwa ndugai, na aliambiwa mnyika na sio Halima mdee.
Ushauri Wangu: Mtu akisilikiliza inam-put off sana, jitahidi kufanya home yako kabla ya kwenda kwenye kipindi.