Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

CUF lipumba inainogesha Chadema. Chadema itakuwa na nguvu Bara na Zanzibar. CUF lipumba haitapata Kata wala jimbo moja 2020. Kinachotakiwa CUF Maalim na wafuasi wenu jiungeni wote na Chadema na kubadili ofisi zenu zote kuwa za chadema sasa msingoje kesho uchaguzi utakapokaribia.
Bora wasepe Ila hiyo ni ngumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CUF lipumba inainogesha Chadema. Chadema itakuwa na nguvu Bara na Zanzibar. CUF lipumba haitapata Kata wala jimbo moja 2020. Kinachotakiwa CUF Maalim na wafuasi wenu jiungeni wote na Chadema na kubadili ofisi zenu zote kuwa za chadema sasa msingoje kesho uchaguzi utakapokaribia.
Ndio mkakati uliopo wa Chadema kuiangamiza CUF
 
Unashangaa nini mkuu? Kwani CCM bara na CCM Zanzibar vinaendeshwaje? Si una kopi na kupesti tu?
Nashangaa, sababu CCM znz na ccm Tanganyika ni dugu moja, ila unavyosema CDM waige CCM ndo maana nashangaa. AU CDM haina tofauti na CCM.
 
Wakuu,

Wanasema jino kwa jino, dawa ya moto ni moto.

Kwakua Lipumba kaamua kuuwasha moto huko CUF na sasa unaiunguza CUF, siioni CUF ikiwa chama kikubwa cha upinzani siku zijazo huko visiwani na hata bara.

Pia siioni kabisa bright future ya Seif ktk siasa za CUF.

Dawa pekee iliyobaki ili CCM iweze kupagawa na kupata kiwewe zaid, ni Maalim Seif ajiunge chadema.

Seif akijiunga chadema, basi itakua ni rahisi mno kwake kuendelea kupata nguvu huko Zanzibar. Pia chadema itazidi kuimarika.

Inabidi Seif atambue, ahame asihame CUF, hakuna bright future ya chama cha CUF kwa mwelekeo wake wa sasa.

Kwaiyo hatopoteza chochote akihamia chadema, bali atazidi kujiimarisha.

Ni ushauri mzuri, kwani ukifiatwa huo ndio itakuwa mwanzo wa Lipumba kufiwa rasmi na CUF mikononi. Lipumba atakuwa hana ujanja wa kupata mbunge hata mmoja, chama kitakuwa hakina "ukubwa" wowote tena, na kazi ya Lipumba kwa CCM ndio itakuwa imeisha. Lakini, Seif nyota itaendelea kung'ara na atakuwa amepepata jahazi jingine lenye nguvu kuendeleza mapambano.
 
Wakuu,

Wanasema jino kwa jino, dawa ya moto ni moto.

Kwakua Lipumba kaamua kuuwasha moto huko CUF na sasa unaiunguza CUF, siioni CUF ikiwa chama kikubwa cha upinzani siku zijazo huko visiwani na hata bara.

Pia siioni kabisa bright future ya Seif ktk siasa za CUF.

Dawa pekee iliyobaki ili CCM iweze kupagawa na kupata kiwewe zaid, ni Maalim Seif ajiunge chadema.

Seif akijiunga chadema, basi itakua ni rahisi mno kwake kuendelea kupata nguvu huko Zanzibar. Pia chadema itazidi kuimarika.

Inabidi Seif atambue, ahame asihame CUF, hakuna bright future ya chama cha CUF kwa mwelekeo wake wa sasa.

Kwaiyo hatopoteza chochote akihamia chadema, bali atazidi kujiimarisha.

ni vyema lakini kwanza lipumba , ndugai ,waueleze umma wa watanzania wanafanya unyama huo kwa manufaa ya tanzania au kwa manufaa ya tanzania ?
 
Hayo maji ya bendera sio kwa hali hii iliyopo sasa. Hiyo mbinu ya kuhamia Cdm wangalau ndio sahihi kwa sasa kwa huyo Maalim. Halafu baada ya hapo hiyo Cuf ya Lipumba ndio itakuwa mwisho wake.

Usifikiri Maalim seif ni mjinga kiasi unavyo fikiria wewe, anaijua siasa kabla hujazaliwa nawala usifikiri Maalim Seif anaichukulia chadema kama chama saidizi na wala pale chadema hakuna hata mmoja anaempata Maalim Seif kwa siasa, naye alikuwa na interest zake kukubali ukawa na chadema kama jinsi Mbowe alivyo kuwa na interest zake ku change gear hewani kumsukuma Dr,Slaa na Kumuweka Luwasa.
Big dealers hawawezi kukaa chma kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na vyama vingi wakati huo? Demokrasia ya zama za Mwalimu unailinganisha na wakati huu? Una umri gani wewe?!!?

Nani aliua mfumo wa vyama vingi 1965, na kwa nini mfumo ulirudishwa mwaka 1992. Halafu uliwahi kuona karatasi ya kupigia kura kipindi cha mfumo wa chama kimoja? Iweje watu wazima wenye akili zao unawaambia wachague aidha kivuli (shade) na binadamu?

Kama ulikuwa unamaanisha katika mfumo wa vyama vingi baada ya kurudishwa mwaka 1992 basi lazima ungeweka wazi. Lakini ulisoma vizuri swali langu ambalo liliuliza tangu 1961? Ila suala la ubaya wa kukaa madarakani kipindi kirefu halina cha chama kimoja wala vyama vingi ni kinyume na demokrasia.

Halafu umri sio issue katika masuala ya historia, cha msingi ni kusoma credible sources tofauti tofauti (with different perspectives) na kuelewa basi. Masuala ya umri yanabaki kwenye familia ya mtu sio kwenye jamii.
 
Nashangaa, sababu CCM znz na ccm Tanganyika ni dugu moja, ila unavyosema CDM waige CCM ndo maana nashangaa. AU CDM haina tofauti na CCM.
Unashangaa nini? CCM ilikuwa Afro shiraz party na CCM Tanganyika ilikuwa TANu
 
Usifikiri Maalim seif ni mjinga kiasi unavyo fikiria wewe, anaijua siasa kabla hujazaliwa nawala usifikiri Maalim Seif anaichukulia chadema kama chama saidizi na wala pale chadema hakuna hata mmoja anaempata Maalim Seif kwa siasa, naye alikuwa na interest zake kukubali ukawa na chadema kama jinsi Mbowe alivyo kuwa na interest zake ku change gear hewani kumsukuma Dr,Slaa na Kumuweka Luwasa.
Big dealers hawawezi kukaa chma kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app

Maalim na CUF yake ni kweli wana interest zao na pia CUF kwa kiwango kikubwa ni brand yao. Hivyo sioni kama wanaweza kuhamia CDM kwa urahisi. Lakini JPM na CCM wanaweza kabisa kuwalazamisha "waungane" kimkakati. Chama kimoja kina nguvu Tanganyika na CUF-Maalim kina nguvu Zanzibar. Issue nyingine ni timing kwani mahakama kama ni huru inaweza kuipoteza CUF Lipumba lakini kama haitakuwa impartial basi either waipoteze CUF Maalim au kesi zisue sue hadi baada ya 2020. Wakubwa wanataka CUF isiwepo au iwe dhoofu bin taban isiwe tishio 2020 kwani hawatapenda kumtafuta Jecha mwingine. CUF Maalim lazima ifanye maamuzi magumu waje na plan B ili kama Plan A - Mahakama watagundua haiwapeleki watakako wajue njia ya kufuata. Tukumbuke CCM imeweka mtego wa kuwa vyama vyote lazima viwe na sura ya muungano hivyo kama mahakama itawapoteza CUF Maalim lazima waje na chama chenye hiyo sura na hili Lipumba na wanao muunga mkono watajaribu kwa nguvu zote kufifisha upande wa Maalim huku Tanganyika na huenda hapa ikawa faida ya CDM kuwa na uhisiano mzuri na CUF Maalim kuja na "muungano" utakao tambua interest ya kila upande na pande zote kwa pamoja.......Nimeamka hiyo ni ndoto tu huenda haina ukweli wa kutosha, time will tell.
 
Narudia, kwa wapemba haiko hivyo kama unavyofikiria!
Cuf ina historia kubwa kwao, sana sana watazira kwenda kupiga kura ila sio kuhama cuf! Ili cuf ife zanzibar ni lazima vizazi vilivyo hai sasa huko zenji vife kwanza!
Kwahyo cuf wanafuata jina sio mtu/kiongozi/sera za chama??? Ina maana kabla ya mapalala kushirikiana na seif hao waliokunywa maji ya bendera walikuwa wamekunywa maji gani kipindi wanarally nyuma ya seif akiwa ametoka ccm????

We jua cuf ni zenji na zenji ni maalim hilo ni jija tu wao wakiona seif kaenda chadema wote watahamia chadema na kumzika rasmi lipumba
 
Inapokuja suala la imani ni ishu nyingine, unaweza mbadili shabiki wa yanga kuwa wa simba?? Nope! Na huko iko hivyo, achana na unafiki wa watu wa bara!
Acha udini wwe mbona cuf waliwaachia chadema jimbo huko visiwani wagombee??? Mbona duni alienda chadema??? Kma wangekuwa wadini wangekubali kuungana na chadema na kumnadi mgombea "kafiri"????
 
kwa sasa maalim seif ana njia mbili tu ama ahame chama au aanzishe chake. kwa cuf ya sasa lipumba kashavuruga na anaendelea....
 
Tatizo lako unaota sefu kujiunga na chadema na unataka kulazimisha matamanio yako,hilo haliwezekani
Mnaomsapoti Lipumba hamkulifikiria hilo hata siku. Sasa mtaona namna Mungu anavyotenda miujiza yake. Mmesaidia sana Tanzania kuwa na vyama viwili tu vikubwa, CCM itakabwa kwelikweli kuliko kama CUF, CHADEMA na CCM vikiwa na nguvu
 
Hukatazwi kujipa moyo ni vizuri kwa afya yako
 
Kwa hali ilipofikia, maalim seif ana machaguo hayo mawili tu.
Kuanzisha chama kingine kamwe hakitapata usajili.
Hivyo ni ama ahamie Chadema ili Cuf zanzibar yote iwe Chadema au aache siasa kabisa. Maana naona kila kona mzee wanembana mbavu.
Hebu nanyie wenzangu toeni mawazo yenu kwa huyu mzee wetu Maalim Seif
 
Back
Top Bottom