Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

Na ndicho chadema wanachokitaka,ila ni ngumu kwa cuf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumba na wenzake hawana habari kuwa wanauimarisha upinzani zaidi. Ama kweli PhD sio lazima kwenye kuyajua mambo. CUF Maalim unasubiri hadi wapi? Hii ina maana hata itakapofika wakati wa uteuzi wa mgombea 2020 atakayekubalika ni yule atakaeteuliwa na CUF lipumba.
 
CUF lipumba inainogesha Chadema. Chadema itakuwa na nguvu Bara na Zanzibar. CUF lipumba haitapata Kata wala jimbo moja 2020. Kinachotakiwa CUF Maalim na wafuasi wenu jiungeni wote na Chadema na kubadili ofisi zenu zote kuwa za chadema sasa msingoje kesho uchaguzi utakapokaribia.
Hayo ni matamanio ya nafsi yako lakini hayawezekani.
Sefu na chadema wapi na wapi?ni uchu tu wa madaraka uliwaunganisha,uliza watu wakuambie CUF ni nini haswa
 
Wasipoutegua mtego huo haraka CUF maalim haitakuwa na mgombea 2020 na nirahisi kufutwa na msajiri sawa na ilivyofutwa Muslim brotherhood. Kujua hilo hakuhitaji rocket science
 
Lipumba na wenzake hawana habari kuwa wanauimarisha upinzani zaidi. Ama kweli PhD sio lazima kwenye kuyajua mambo. CUF Maalim unasubiri hadi wapi? Hii ina maana hata itakapofika wakati wa uteuzi wa mgombea 2020 atakayekubalika ni yule atakaeteuliwa na CUF lipumba.
Katiba zao mkuu,si umeona babu Duni yaliyompata?nachoamini ni kuwa maalim alishazowea kuwaburuza hao watoka mrima,sasa amekwaa kisiki na hataki kuamini kuwa ni yeye kweli!maana kila akifurukuta hola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni tamaa za madaraka nyie kwa hiyo mnataka kuwarubuni cuf wakiuwe chama chao wajiunge na cdm mmechemsha kila mahali sasa huko ndo mmeona pa kuteremkia mtakaa sana
 
sasa km mnawazengua kwa nini wasijiunge?watengeneze jeshi kubwa?
 
Acheni tamaa za madaraka nyie kwa hiyo mnataka kuwarubuni cuf wakiuwe chama chao wajiunge na cdm mmechemsha kila mahali sasa huko ndo mmeona pa kuteremkia mtakaa sana
Sio cdm ila Lipumba na washirika wao wanataka kukisambaratisha CUF kabla ya 2020
 
Kwani Rais Shein si ni naibu Mwenyekiti wa CCM? Chadema Zanzibar itashindwa nini kuiga CCM Zanzibar?
Aisee, cdm waige ccm.! Kwa hiyo Lipumba yuko sahihi kuiga ccm kumbe lawama za nini kwa lipumba?
 
Wasipoutegua mtego huo haraka CUF maalim haitakuwa na mgombea 2020 na nirahisi kufutwa na msajiri sawa na ilivyofutwa Muslim brotherhood. Kujua hilo hakuhitaji rocket science
Sio lazima aende chadema,anaweza kuunda chama kipya tu.
 
Waache watashangaa 2020 hawapati hata diwani
Lipumba anakifuta chama chake
 
Nani atakisajili hicho chama kipya? Hata huyajui malengo ya Lipumba na washirika wao.
Tatizo lako unaota sefu kujiunga na chadema na unataka kulazimisha matamanio yako,hilo haliwezekani
 
Back
Top Bottom