Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

Mlimdanganya Lowassa ahamie Chadema matokeoyake akapotea kisiasa...unadhani hayo yote Maalim hayaoni?
Ushauriwangu kwa Maalim: Nyoka akiingia nyumbani kwako, hufungashi vilago na kuhamia nyumba ya jirani...unabaki na kumsaka kila kona na hatimaye kumponda kichwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlimdanganya Lowassa ahamie Chadema matokeoyake akapotea kisiasa...unadhani hayo yote Maalim hayaoni?
Ushauriwangu kwa Maalim: Nyoka akiingia nyumbani kwako, hufungashi vilago na kuhamia nyumba ya jirani...unabaki na kumsaka kila kona na hatimaye kumponda kichwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako ni zero brain the kolomije style. Kwa kuwa prosper leapoumberfff kang'ang'ania bougouroun akidhani itamsaidia maalim has to make a u turn in 2019 angani she nguvu zake na makamanda halafu zanzibari yote itakuwa ya kikamanda basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yako ni zero brain the kolomije style. Kwa kuwa prosper leapoumberfff kang'ang'ania bougouroun akidhani itamsaidia maalim has to make a u turn in 2019 angani she nguvu zake na makamanda halafu zanzibari yote itakuwa ya kikamanda basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umejitoa ufahamu na kuamua kuharisha kupitia mdomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshazeeka nae astaafu tu. Asije kufa na fedheha... Asiyoyafanikisha watoto wake watafanya
 
wazo la maana sana maana hilo likifanyika ndio itakuwa mwisho wa CUF Zanzibar na kuwa na wabunge wengi wa chadema kutoka Zanzibar
 
Kwanza uelewe kuna CUF ni moja tu. CUF inayoita wewe ya Lipumba ni chama kipya cha Msajili wa Vyama na Lipumba. CUF Taifa kimeshamfukuza uanachama Lipumba na hayo anayoyafanya sasa ni yake mernyeewe na wafadhii wake. Maalim Seif na Lipumba sio wote Mfahali. Fahali wa kweli hawezi kutumiwa na kuendeshwa na wasaliti waliokosa kura za maoni kugombea ubunge baada ya kususa kuyatembelea majimbo yao kwa muda mrefu.
Lakini hujui siasa za Zanzibar, CUF sio herufi, ni chama, ni taasisi. Hata kifutwe leo na uitishwe uchaguzi basi kura za" Maruhani" zitashinda. Hii imeshatokea wakati wagombea wa CUF walienguliwa kwa mizengwe ya CCM ili iweze alau kushinda kiti kule Pemba. Matokeo kura waliopigia kivuli "zilishinda".

Wapinzani wengine walifikiri kwa vilr CUF imekataliwa kushiriki basi wanachama wale watapigia vyama vingine vya upinzani. Hali haikuwa hivyo. Kwa hivyo usipate taabu Chama cha CUF kama taasisi ni ndoto kukiua Zanzibar ila kinachowezekana ni kufuta herufi C.U.F. kwa msajili kwa shinikizo zaLipumba na wafadhili wake.

KAMAHURU chama mzazi wa CUF kiliisi mika kadhaa, na kilikuwa hakina ruzuku kiliishi chinichini na kilipoibuka katika uchaguzi 1995 iliisambaratisha CCM vibaya sana na kwa msaada wa Bar walipindua matokeo na kusema Serikali haipatikani kwa vipande vya karatasi.
CUF ni imara kuliko unavyofikiria, na kasheshe kama hizi zimezooeleka. Mbele ya Maalim Seif Lipumba ni nguvu ya Soda.
TIME WILL TELL BRO, TIME WILL TELL. AT THE END OF THE DAY, TIME ALWAYS TELLS
 
kwa alichokifanya zanzibar oct 2015 sisiemu hawawezi kusahau atafuatwa popote atakapoenda hata akiwa chama hewa

be___blessed
 
Ni kweli Maalimu akihama CUF itakufa. 2020 Cuf haitapata mbunge hata mmoja. Safari hii walipata sababu ya UKAWA. kama CDM wanfesimamisha wagombea kwenye yale majimbo CUF isingepata kitu. Lipumba asione kapata ruzuku mwisho wake ni 2020 kama seif atahama
Dah......
Kumbe vita yote hii sababu kuu ni ruzuku?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Taratibu mtatuelewesha tu[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Baada ya kutafakari yanayoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) nimegundua kuwa mgogoro huo ni mkubwa mno na hakuna namna mgogoro huo utaisha na CUF kuwa kitu kimoja.
Kilichopo hapa kuna CUF mbili ya Lipumba na ile ya Maalim Seif. Katika hali kama hii ambayo kila mtu ana msimamo mkali na kama tunavyojua mafahali wawili hawakai zizi moja mgogoro huu ungeisha kama mambo mawili yangewezekana;

Jambo la kwanza ni endapo pande mbili zingekuwa tayari kukaa chini na kuzungumza na kuamua kuumaliza huo mgogoro. Jambo hili kwa maoni yangu ni kwamba haliwezekani kabisa kwani pande hizo mbili haziaminiani hata kidogo.

Jambo la pili ni endapo fahari mmoja angeweza kuhama au kuhamishwa zizi. Hapo awali nilidhani kuwa CUF ya akina Maalim Seif ina nguvu hivyo nilidhani wangeweza kumwondosha Lipumba kumbe I was wrong Seif na kundi lake wameshindwa kumwondosha Lipumba badala yake anazidi kujichimbia chini kabisa kama mhimili wa Trumprapa. Na hii inachangiwa na sapoti anayopata kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa na kutoka kwa wafuasi wake waliopo Tanzania bara.

Kwa kuwa Lipumba anang'ang'ania kubaki Chamani jambo linalowezekana ni Seif kuhama chama na kumwachia Lipumba chama cha CUF. Siyo kwamba ni kuonesha udhaifu bali nina uhakika Seif akihama chama na wafuasi wake wa Zanzibar itakuwa ndiyo mwisho wa CUF. It is better akihamia CHADEMA na wafuasi wake maana itasaidia kujenga upinzani imara nchini na kuwa na chama kikuu cha upinzani chenye nguvu pande zote mbili za muungano.

Nashauri viongozi wa CHADEMA wamsaidie Seif kurealize hii potential,


Hiyo siku ambayo naamini ii karibu ambayo Maalim Seif atachukua uamuzi huu naisubiri kwa hamu sana.
Unamdanganya Maalim. EL alidhani ana wafuasi wa kuhama nao alipotoka CCM lkn haikusaidia. Walio wengi siyo kama nyumbu kufuata mkumbo, ila ni watu makini. Samaki ana nguvu akiwa majini. Maalim akitoka CUF ndiyo mwisho wake.
 
Ushauri Kwa Cuf ya Maalimu Self na CHADEMA.

Tanzania tangu 1992 tuko kwenye mfumo wa vyama vingi,ccm imekuwepo hata kabla ya 1992 hivyo ni chama kikongwe na chama dola mda wote ukilinganisha na vyama vilivyoanzishwa mwaka 1992 kama Cuf, Chadema, Nccr-Mageuzi n.k.
Tangu mwaka 1992 jitihada za kuwa na upinzani imara zimekuwepo hasa kwa vyama mbalimbali vya upinzani, kwa vipindi tofauti vyama hivi vimekuwa na nguvu japo kila kipindi na chama tofauti mfano 1995-nccr mageuzi, 2005-cuf na 2010/2015-chadema ila kwa upande wa zanzibar Cuf imekuwa imara wakati wote.
Vyama hivi vya upinzani nguvu zao zimekuwa zikipunguzwa na propaganda toka ccm kama ukabila, udini,ukanda,ugaidi n.k japo kwa sasa chadema na Cuf ya Maalimu Self vimeweza kupiga hatua juu ya propaganda hizo ila sio kwa asilimia kubwa sana. Basi ni mda mwafaka chadema na Cuf ya Maalimu Self kuunda chama kimoja na sio ukawa tena. Na nashauri chadema iwepo kama sasa ila wanasiasa wa upande wa Maalimu self wahamie chadema kuunda chadema iliyo imara na sura ya muungano wa kitaifa.
Sababu kuu ya Maalimu self kwa watu wake ni kuwa Cuf imevamiwa na dola kutumia lipumba na chadema hoja kuu ni kuwa itapata nguvu Zanzibar na hoja ya udini, ukabila au ukanda ndo mwisho.
Kwa kuwa chadema ipo sehemu kubwa ya Tanzania na kwenye vichwa vya watanzania hivyo iendelee kuwepo ila iongezewe nguvu na upande wa Cuf ya Maalimu self.
Huu ni ushauri wangu kwa Maalimu Self Sharif Hamad, Freeman Mbowe, Cuf ya kweli, Chadema na wale wote wenye uhitaji wa upinzani imara.

 
Ahamie vipi Chadema wakati yupo mbioni kukabidhiwa nchi kabla ya mwisho wa mWaka?
 
Back
Top Bottom